sheby dunia
Member
- Jul 12, 2018
- 78
- 83
habarini wakuu kuna site inaitwa youtube-aq.xyz hawa jmaa wana lipa watu kwa ku watch ads video kweny site yao na ukijiunga unapewa bonus ya $25 lakn nmeingiwa na mashaka makubwa sana baada kujaribu kufatilia wanadai huwezi ku withdraw pesa mpka ifike $200 na uwe na refaralls 30(watu walojiunga kupitia wew) kiukwel nmefatilia sana weng wanadai ni SCAM site not really.ila cha kushangaza kuna watanzania wanadai ni kweli na wanaonesha had withdraw proof(miamala ya pesa walotoa kweny site) tafadhali mweny kufaham chochote kuhusu hili ANIJUZE.
Note:
Please naomba utoe ushuhuda wa uhakika na kma ufaham lolote nivema ukakaa kmya ila usikatishe watu tamaa Wala kuponza watu.
Note:
Please naomba utoe ushuhuda wa uhakika na kma ufaham lolote nivema ukakaa kmya ila usikatishe watu tamaa Wala kuponza watu.