Wabongo bhana..sasa wewe unakerwaje na lifestyle ya wengine?
Kama mtu havunji taratibu za jamii yake,mwache aishi atakavyo na wewe ishi upendavyo.
Kwa hiyo hata ma-moran (wamasai) wasukao wanakukera?
Hamia msituni huko hakuna nyani wa kiume anayesuka.[/QUOTE hilo ndo tatizo hata kwenye ndoa watu hawadumu
yaan maisha ya mtu baki yanakutesa hivi je mkeo au mumeo itakuwaje? mi,i hadi dady katoboa sikio,na bf bia sasa nashangaa
Ndo kuiga kwenyewa huko
hereni???? diamond na wasanii wakubwa mnaowatizama wanaweka heren,mi napenda ila moja sio mbili kama wafilipino,in short napenda mwanaume akivaa ila asipovaa sio tatizo maana hata waigizaj wa hollywood na watu maarufu wanavaa
vipi ukimuona baba yako amevaa hereni na kapiga dawa nywele.!? sianakuwa kama msanii wa hollywood.!
kuwa serious HUO NI UPUUZIz
Unataka wasanii wanaume wa Tz wavae kwa sababu waigizaji wa Holywood wanavaa.Ina maana msanii wa Holywood akiwa shoga na msanii wa Tz awe hivyo, maadam kitendo hicho kimefanywa na msanii wa Holywood....Haiingii akilini@masai dadahereni???? diamond na wasanii wakubwa mnaowatizama wanaweka heren,mi napenda ila moja sio mbili kama wafilipino,in short napenda mwanaume akivaa ila asipovaa sio tatizo maana hata waigizaj wa hollywood na watu maarufu wanavaa
Unataka wasanii wanaume wa Tz wavae kwa sababu waigizaji wa Holywood wanavaa.Ina maana msanii wa Holywood akiwa shoga na msanii wa Tz awe hivyo, maadam kitendo hicho kimefanywa na msanii wa Holywood....Haiingii akilini@masai dada
Wafilipino, Thais, Indoz hao ni culture yao
acheni ligi,its true kiranga,but am telling you that shyt is ----d up better be natural
Kikavirondo ni kitu gani? Nimetumia kenyan swahili, mbona we mgumu sana kielewa? Yani unawezaga tu kukariri misamiati ya kizungu, vingine hata hujiongezi
Andika kitu kieleweke, unasema freedom of expression,wapi na nani alietoa hiyo kitu, google is not the ans to all question mate
Eleweka
Kitu ni "hiki", si "hii".
Ni zamu yangu kuuliza. Hiki ni kitu gani umeandika wewe?
Unaandika Kikavirondo au Kiswahili?