Mkuu weka agenda za kikao
1,tumeanza lini kupenda wanaume wenzetu kiasi hiki???
2,kulala kifuani kwa mwanaume mwenzio,mbaya zaidi unaishiwa nguvu
.
3,kulia kwa furaha kwenye kifua cha mwanaume mwenzako.
4,unaambiwa omba pesa,unaomba laki 6
,yaani ni kama hukuwa tayari aumie mfuko sababu yako, maana una mapenzi ya dhati
5,kubadiri dini kumfuata mwanaume mwenzako,sio kwa kukushawishi kwa hoja laa,ili uwe upande wake tu
.
6,tumeshuhudia wadada kibao wakichora tatoo za wanaume wanaowapenda,ila mwanaume inakuwaje aanzie familia yetu
.
kabla dogo hajajibu hizi hoja naona atakuwa keshachezea kerbu kadhaa kabla mzee na masister hawajaingilia kati
.