Huu ni usaliti wa wabunge wetu

Huu ni usaliti wa wabunge wetu

The Grandson

Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
13
Reaction score
5
kuna mambo yanachanganya sana hapo, kama
ukifikiria kwa kina, uamuzi uliofikiwa, na namna
maazimio yalivyochezewa, na hatimaye hata viongozi
wetu wa upinzani kukubaliana upande wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) , inanipa hofu kubwa, na hii
itawaaminisha wananchi kuwa hakuna aliyekosea,
bali wachache wameamua kubeba msalaba wa wote.
Bunge limekubaliana kienyeji, hoja za msingi za
kambi ya upinzani zimelegezwa, na tupo gizani
kusikia kuwa wakosaji wamewajibishwa, ni lini,
hatujaambiwa specifically, ukilinganisha na wakati
wa Edward Lowasa alipojiuzulu, ni baada ya kamati
kusoma taarifa yake na kutoa mapendekezo yake, na
akayatambua makosa, ama yakwake, ama
yakupewa, akajiwajibisha. Sijaelewa ni nani
anayeogopwa hapo, na sitaki kusita kusema kuwa,
hofu yangu kubwa ni kwamba suala hili limemalizwa
kwa maslahi ya kisiasa, na sio maslahi ya kitaifa.
Hayo maslahi ya taifa mliyoyazingatia mpaka
kupelekea kuyaondoa mapendekezo ya kamati ni
yapi? Mwenyekiti wa kamati bwana Zitto Kabwe,
pamoja na wajumbe wa kamati yako, katika
kuzingatia maslahi ya taifa, na kuyaondoa
mapendekezo yenu, mnatuhakikishiaje kuwa waziri
mkuu ndugu # Mizengo_Pinda hakuwa na makosa
katika sakata hili, kama mlivyotuaminisha kuwa
waziri mkuu anapaswa kuwajibika kwamba ana
makosa yake kama mlivyoyaainisha? Tuamini kipi,
tuache kipi?
Naomba ufafanuzi wa kifungu hiki katika KATIBA ya
JMT, ibara ya 63 (1) Rais kama sehemu moja ya
Bunge atatekeleza madaraka yote aliyokabidhiwa na
Katiba hii kwa ajili hiyo.
Pia katika ibara hiyo hiyo, ibara ndogo ya pili na ya
tatu kama ifuatavyo:
(2) Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo
kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa
na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na
kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na
vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu
yake kwa mujibu wa Katiba hii.
(3) Kwa madhumuni ya utekelezaji wa madaraka
yake Bunge laweza
-(a) kumuuliza Waziri yeyoyote swali lo lote kuhusu
mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano
ambayo yako katika wajibu wake;
(b) kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa
Mkutano wa Bunge wa kila mwaka wa bajeti;
(c) kujadili na kuidhinisha mpango wowote wa muda
mrefu au wa muda mfupi unaokusudiwa kutekelezwa
katika Jamhuri ya Muungano, na kutunga sheria ya
kusimamia utekelezaji wa mpango huo;
(d)kutunga sheria pale ambapo utekelezaji unahitaji
kuwapo sheria;
(e) kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu
Jamhuri ya Muungano na ambayo kwa masharti yake
inahitaji kuridhiwa.
Sasa imeshindikana vipi kumuwajibisha waziri mkuu,
au ile ilikuwa ni namna ya michezo ya kisiasa na
hatimaye jambo kuja kuonekana ni dogo baadae?
Bado inanipa maswali mengi sana, ambayo ni ngumu
kuyabainisha hapa, lakini kwakweli suala hili
limeniboa, nimeboreka sana, sio tu kwasababu waziri
mkuu hajawajibishwa, bali ni namna ya maridhiano
yalivyofikiwa. Kama kuna ambaye anaweza kujadili
suala hili na kutoa ufafanuzi juu ya haya, nitashukuru.
 
Wanasiasa wameunda kamati ya marithiano na kukubaliana maswala yao na kuweka kando maslahi ya Taifa it is shame
 
Nimesikitika sana

Ndo muandamane sasa
 
Aisee huu mpangilio wa hii post yako ni wewe umeandika mawazo yako kweli! au umecopy sehemu na kupaste hapa!!!
 
Ndg yeti jaribu kuelewa Mwandishi huyo ameweka mawazo yake na amenukuu vifungu vya katiba kuimarisha hoja take muhimu
L
 
suala hili na kutoa ufafanuzi juu ya hayao, nitashukuru.

kwakweli wamebore
sikutazamia kuwa huu ndio mwisho walioutaka ambao ulifanya jana washimdwe kufikia muafaka
au watuambie tu kuwa llimewashinda lakin c uamuzi kama huu ambao hauna mashiko.
 
Back
Top Bottom