Huu ni uporaji

Huu ni uporaji

Watalipwa kwa mfumo wa watoto/wajukuu kupata elimu bure na kupanda mwendokasi.
Mi najua wana set-off na tax liabilities mpya za mlipa kodi, kwa maana badala ya kulipa kodi, ile amount ambayo ilikuwa withheld ndo inatumika kulipa hizo kodi mpya za mlipa kodi
 
Mi najua wana set-off na tax liabilities mpya za mlipa kodi, kwa maana badala ya kulipa kodi, ile amount ambayo ilikuwa withheld ndo inatumika kulipa hizo kodi mpya za mlipa kodi
Kwa ambaye amefilisika na akaacha biashara itakuwaje?
 
Hakuna pesa iliyo Bank ikachukuliwa kimakosa, ni kwa makusudi...
 
Mwendazake alikuwa ni mporaji na dhulumati wa kiwango cha juu sana, ambaye alitumia madaraka yake vibaya. Huo mpango wa kumjengea sanamu ni upuuzi mtupu.
Tena ni uendakuzimu kumpa heshima mwendazake.
Anastahili kupigwa mawe hata huko aliko
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuna Baadhi ya watu wamekufa baada ya kuporwa pesa zao kwenye maduka ya kubadilishia pesa za kigeni.
Wengine wameishiwa hadi nguvu za kiume/kike halafu anakuja mtu anaongea kiulaini kama ananawa hii nchi basi tu!!
 
Mwendazake alikuwa ni mporaji na dhulumati wa kiwango cha juu sana, ambaye alitumia madaraka yake vibaya. Huo mpango wa kumjengea sanamu ni upuuzi mtupu.
Alikuwa ana edit akaunti za watu? akikuta akaunti imeshiba unapunguziwa kimasihara......kwani sheria za kibenki zinasemaje kuhusu hili la ku-edit akaunti za wateja.
 
Back
Top Bottom