Huu ni uporaji au wizi

USA baada ya kutathimini hasara aliyoipata kaamua kujilipa hapo hapo
 
Waislamu wa Buza tumemaindi sana, kwanini wasizitumie kununua makobazi na tende kwa waislamu wenzao, wao wanazipeleka kwa makafiri kuwaungisha. Allah anafeli wapi sijui.
Iran hakuwahi kuzihitaji hizo hela,wameishi muda mrefu bila hizo hela, marekani ndiyo anahitaji wakulima wake wapate hela tangu mchina kaacha kununua soya kwao
 
Ndivyo hawa jamaa walivyo! Watahakikisha hiyo hela haitumiki kujenga Iran Kijeshi
 

Iran denies unfrozen funds will be used to buy US foodstuffs​

Tehran’s top negotiator has accused Washington of exporting “trash talks”
Published 26 Jun, 2026 04:38 | Updated 26 Jun, 2026 05:40

A grain bin stands in a corn field in Marne, Iowa on October 12, 2024. © Bill Clark / CQ-Roll Call, Inc via Getty Images
Iran’s chief negotiator, Mohammad Bagher Ghalibaf, has denied that the country’s unfrozen assets would be used to buy agricultural products from the US. His remarks add to conflicting interpretations of the interim US-Iran peace deal signed on June 17.

“America falsely claims our unfrozen assets will buy their agriculture. Interesting. The only crop we’re harvesting is what you planted: decades of mistrust. It’s organic, abundant, and homegrown,” Ghalibaf wrote on X on Thursday.

“But apparently the US only exports GMO soybeans, broken promises and trash talks,” he added.

Under the memorandum of understanding (MoU) cited by the media, the US agreed that an unspecified amount of assets frozen under sanctions would be “made fully available for use” by Iran upon implementation of the deal.

 
Ukiwa mnyonge mazungumzo hayapo. Hiyo diplomasia inatumika kwa wenye nguvu. Iran angelegeza au kujiona mnyonge katika mapambano na Marekani na Israel hiyo diplomasia isingetumika wala kusingekuwa na muda wa mazungumzo.
Marekani na Israel wamepata maumivu kutoka kwa Iran. Hii ndo imeleta hiyo balance na kuona adui yetu si mnyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…