ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 548
- 658
kwa nini wanaotegeshewa iwe ni wanawake na si wanawake kuwategeshea waume zao?
Iko hivi, iwapo wanawake watakuwa na uwezo wa kuwategeshea waume zao, kuna uwezekano wakanaswa wanaume wengi kuliko kawaida tofauti na wanawake.
Sikutaka kuchangia chochote but imebidi tu niseme kwa kweli...Japo mie ni rijali na nina mke but so to speak this is really unhumanitarian. Ni udhalilishaji sana wa kiwango cha juu...Dhambi zipo na kufanya dhambi hakukuondelei ubinadamu wako...Unajua hata kitendo cha kufikiria kuwa huyu mke atanicheat na kuenda kutafuta TEGO ni kutojiamini na ni ushrikina tu...Ukishatambua mkeo sio mwaminifu tupa kule..pengine sio chaguo lako...mwache amtafute ampendaye..na wewe sepa na maisha yako...By the kama ulivosema Zinduna hakuna cheaters kama males..sasa mbona sie wake zetu hawatuwekei hizo ndubwasha???..Ni ujinga na i hate this type of a shit!!...
Kuna uvumi umeenea jijini Dar kwamba kuna mwanaume kanasiana na mke wa mtu wakati wakijamiiana.
Sina uhakika sana na uvumi huo, lakini katika kukua kwangu nimewahi kusikia hiyo habari ya wanaume kuwawekea tego wake zao ili wakitoka nje ya ndoa wanasiane na wanaume hao.
Mimi nasema huu ni uonevu kwa sababu kiukweli kabisa wanaume ndio wanaoongoza kwa kusaliti ndoa zao lakini sijawahi sikia mwanamke kamtegeshea mumewe akanasiana. kwa nini iwe ni wanaume tu, na wanawake wasiwe na uwezo huo?
Mimi nadhani sasa huu ni wakati muafaka kwa TGNP. TAWLA, WILAC na TAMWA kutoa tamko kulaani mtindo huu ambao unawadhalilisha sana wanawake ukilinganisha na wanaume. Unakuta jidume lizinifu kabisa lakini limemtegeshea mkewe asimegwe! wao waki Duu ni sawa lakini sisi tuki Duiwa ni nongwa
Heeeeeeee
Naomba wanaharakati wanawake wa JF tukemee kabisa hii tabia ya wanaume maana haifai kabisa, taarifa hizi ziwafikie- cacico, gfsonwin, snowhite, Madame B, MadameX, nivea, Yummy, nyumba kubwa, BADILI TABIA, Smile, Kipipi, Angel Msoffe, MwanajamiiOne, Mamndenyi, lara 1, Preta, Kongosho, Elizabeth Dominic, Kaunga, na wengine niliowasahau, hebu njooni hapa tutoe tamko haraka sana
Kuwa na mwanaume mjinga kama wewe ni hasara kwa taifa.
1. Utajuaje kuwa mkeo si mwaminifu ikiwa hujamuona?
2. Ktk lile lililotokea (linalodhaniwa kutokea Temeke), una hakika gani aliyetegwa alikuwa mwanamke na si yule mwanaume kategwa na mkewe ili aumbuke?
3. Kama hakuna cheaters kama males, wanacheat na wanaume wenzao?
4. 'You hate this type of a shit' this is very funny. You hate it because you are subjected to it. Kama mtego unamnasa anayenuka, wewe kama umeoga utakuwa na wasiwasi wa nini?
5. TEGO ni kutojiamini na ushirikia, eti? Ila kutembea na wake za watu ni kujiami na ibada au?
Pathetic fool!
Sio njia yangu lkn sioni cha kukiogopa. Mwizi ndio hulaani uwepo wa kituo cha polisi. Nyie ni malaya ndio maana mmekuwa wa kushituka hivi. Sitegemei kutembea na mke wa mtu wala kiruka njia yeyote zaidi ya mke wangu, ni haja gani ya kuogopa tego?
ww dume linalotega ulimbo haliib ndo mana linaumia likiibiwa, pia madem wa cku hiz hamckii kw hyo bora mwkewe ili mjifunze; SHEEENZ..![/QUOTE]
Duh . . . .
Hapo umemanisha watajwa hapo juu ama??
Taarifa tafadhali!
Cheaters?!
Kwa hiyo kwa akili yako ya kuvuliwa chupi hovyo, ninafanana na cheater? Au hujui cheater maana yake?
Ninakuboa kwa sababu tu nachukia huu mchezo wenu na si vinginevyo. Kama unajua umeolewa una haja gani ya kwenda kuvuliwa nguo huko nje? Huyo mwanaume wenu naye ni kicheche kwa hiyo ana hofu kuwa one day tego litamkuta.
Character ya mtu huonekana kwa maneno pia. Wale walifumaniwa (kama ni kweli) wote wana makosa. Lkn solution yake sio kuhalalisha na mke wa yule malaya wa kiume akafanye the same. Huyu mwanzisha mada anasema mwanamke kadhalilishwa, sasa cha kujiuliza, kadhalilishwa akiwa kanisani au msikitini?
Wewe kama unajua hiyo dawa ilipo nakushauri nenda tu kanunue umuwekee mumeo. Siku atakayokamatwa hutakuwa umemdhalilisha, atakuwa amejidhalilisha kwa umalaya wake. Otherwise, ni akili kama za mbuzi, nguruwe na mbwa wanaoingilana hovyo bila mipaka.
Nikuambie kitu Zinduna, kina mama kila siku tunabondwa licha ya kusalitiwa; wangapi tunawapeleka waume zetu police? Nitajibu
Very few. Why?
Tutaachwa na mwisho wa siku tutaishije?
Sasa fikiria nimemtegeshea Eiyer, akanaswa (kwanza jamii na ndugu wa mume watakavyoninanga), nikija kumnasua si talaka hapo hapo? Who dares?
Bora tungeitafuta aliyo propose HorsePower ya kumfanya asidise anavyochepuka. Akirudi nyumbani mambo kama kawa.