Huu ni ULAFI au UMERO?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,684


CCM NI WALAFI WA MADARAKA HADI NA CHAKULA.
NAPE ANAMIMINA SUFURIA ZIMA LA MAHARAGE KWENYE SINIA BILA KUJALI KUWA WENGINE NAO WATAHITAJI KULA.
HII NDIO HALI HALISI YA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAO KUJIJALI WAO TU NA MATUMBO YAO HUKU WAKIWASAHAU WANANCHI WENGINE.
CC:- Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
Hapo anajimiminia mwenyewe au anamimina kwa ajili ya wote? Mbona inaonyesha wote wanataka kula hapo?
 
Hii mijitu ya CCM ilisha laaniwa kwa kila kitu.
 
Hahahaa mkuu hata sinia la ubwabwa lipo moja tu hapo lol...umenifanya nicheke sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…