Huu ni ukweli kuhusu Wanawake

Namba 2 leo jamaa hapa kitaa kala mvua ya maisha baada ya mke wake kugundua ana mke mwingne ndio jamaa kusingiziwa kamlawiti mwanae..wanawake ni sumu kali
 
Ukweli ni zote hizo ni nadharia tu....

Zinaweza fanya kazi kwa huyu, kwa yule sizifanye kazi...

Hizi fairytale za mitandaoni zinawapotosha sana vijana,,, Next time leta Real Life experience sio nadharia...
 
Kitabu kitakatifu kinaposema tuishi nao kwa kutumia akili inamaanisha nini?
 
Tafuta pesa acha kuhangaika na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…