Huu ni ukatili, uchawi au nini

Kuna vitu vingine sio vya kuleta humu ndan ....sijaona maantiki ya kuanzishia uzi
 
Hiyo ni maiti iliyopitiliza siku za kuzikwa!
 
Hii ndo unakuta mtu anakufa mwenyewe ndani siku mnasikia harufu mkienda kufungua hali mnayoikuta ndo hyo huyo amekufa ila wamemgundua akiwa ameanza kuharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…