Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,823
- 113,394
- Thread starter
-
- #21
Ushauri wa hadhi ya nyota tano kabisa mkuu.Mi Huwa nawaambia vijana hasa wa kike!
Kwenye maisha waache kuwapa wengine dhamana ya maisha yao!!yaani waache kubweteka wakijua Kuna mtu fulani atabeba dhamana ya maisha yake!!
Sisi hatupendi kubeba Dem ambae Hana Cha maana Cha ku offer zaidi ya uchi wake,was aina hiyo tunajua ana bei yake no Bora akajiuze tujue ni kahaba!!
Tunapenda ke anaetupa changamoto za kiuchumi na future hata ukizaa name unajua totoz zipo kwenye safe hands!!
Hata akiwa Hana kazi lazima nimtafutie Cha kufanya hata kiduka atauza ajue mzunguko wa uchumi upoje!
Akizingua baada ya kujipata unatafuta mwingine!simple tu!!
mkuu malezi malezi malezi ni kitu muhimu sana kuzingatia...... tuna kundi la watu wanaopenda vya bure au kuamini wao wanastahili kuhudumiwa japo hawana mchango kwenye kipato wanachokwenda kutumia....Wamekaushwa wao 😂
Sahihi sana mkuu, imagine hao watu wazima wawili wameshindwa kuafford walichokula, ni aibu na hii ipo sana kwenye jamii zetu.
Na ukiwashauri wawege wanaaagiza ugali na matembele wanakuona huna maana. Hao dawa yao ni kuwasugua mbususu tuWamekaushwa wao 😂
Sahihi sana mkuu, imagine hao watu wazima wawili wameshindwa kuafford walichokula, ni aibu na hii ipo sana kwenye jamii zetu.
Bado upo da maua.?Lazima mkimbiwe heh mnakula chakula cha kijiji kizima.? Mbwa wao heeh maisha yangu sijawahi kula chakula kama hiki hata mimi silipi . Dah kama majamaa fulani walinipeleka mahali tukala eti wamemaliza wananipoint nikawaambia sawa nikajilipia nikasepa hao wadada wajinga sana wapuuzi shenzi
Eh mpaka ijumaa nitasepa kabisa utakuwa huna mtu wakumlikeBado upo da maua.?
Usinifanyie hivyo da maua please 🙏Eh mpaka ijumaa nitasepa kabisa utakuwa huna mtu wakumlike
SAsa humu lazima niache kidogo nikafanye yangu kidogoUsinifanyie hivyo da maua please 🙏
Nitakumis sana ,ila mbona mimi naweza kufanya yangu na bado humu nipo 🤔 .SAsa humu lazima niache kidogo nikafanye yangu kidogo
sheria kaliNitakumis sana ,ila mbona mimi naweza kufanya yangu na bado humu nipo 🤔 .
Kodi muhimu hiiMwanaume akienda washroom aache simu yake mezani jifunzeni kina dada
Usile wewe, hiyo bajeti itoshe kwao 😅Nasimama na Jamaa
Kwasababu haiwezekani mi nimekuita wewe, then wakuja na rafiki yako.
What if nina bajeti ya watu wawili tu ! 😀
Naam uzi ni picha mkuuHii sasa ndio imekidhi viwango vya kuitwa HABARI KATIKA PICHA 😂😂
Polisi wakalipie hukoHapo ni mwendo wa kupigishwa deki tu au kuosha viombo au waache simu
Mabadiliko yanahitajika mkuu vinginevyo hali itazidi kuwa mbaya.mkuu malezi malezi malezi ni kitu muhimu sana kuzingatia...... tuna kundi la watu wanaopenda vya bure au kuamini wao wanastahili kuhudumiwa japo hawana mchango kwenye kipato wanachokwenda kutumia....
ila hata sisi wanaume tunakwama sana tunawaendekeza kisa wanatupa utelezi ndio maana kuendelea ni ngumu sana maana tunatumiaga hata kile ambacho hatujakitafuta au tunakopa tukatumie..... ukichunguza sana hawa watu wanaokopa mitandaoni hela wanatumia kwa starehe wakiamini muda wa kurudisha watakwepa kulipa