Huu ni ugonjwa au ni tabia. ?

Sio kwa dole hilo jamani, khaaa
 
Kwa mtoto Sawa. Akili haijakua. Kwa mtu Mzima nikala ugonjwa wa mtindio wa ubongo. Akili haikui
 
Nachukia sana hii tabia kwa baadhi ya watu wazima wanaonyonya vidole ama kalamu, Iwe KE ama Me.

Sioni sababu ya msingi ya MTU kuweka Kidole ama kalamu mdomoni.
Ni uchafu.
 
Ni mazoea mabaya...

Wengine wanatafuna ulimi... Wengine wanakonyeza konyeza ovyo unconditional...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…