Huu ni ugonjwa au ni tabia. ?

Dah ,samahani kuna kitu alikikosa utotoni na hivyo kujikuta amekua na kuishi na hiyo tabia
 
JF RAHAAA JAMANI MBONA "ZWAZWA"! MI NAONGEZEA GWAJAGWAJA
 
Umelitoa wapi hili zwazwa? Haki ya nani kama nimelipa lift nalishusha!! Litakuwa jamaa lake na Bashite hilo limezoea kulamba cone za Azam!!
Nafwaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mazoea yanayopelekea kuzaa tabia. Kwenye ANATOMY YA CNS kuna ka jamaa fulani kana MODULATE mambo kama hayo na mengineyo kama Punyeto nk. Na usipokomaa kupambana hutaacha.

Mimi nilifanikiwa kuacha ujinga huo nikiwa darasa la 6 hivi.

Enzi hizo nikiwa mdogo mama na bibi walikuwa wananipaka pilipili, siku nyingine mavi ya kuku ili nisinyonye kidole.

Mambo mengine bhana! Ha ha ha!
 
Umelitoa wapi hili zwazwa? Haki ya nani kama nimelipa lift nalishusha!! Litakuwa jamaa lake na Bashite hilo limezoea kulamba cone za Azam!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Reactions: wax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…