Acha umbea naona unaingilia uhuru wa watu, kama imani yako ni mke mmoja tuliza mdomo wako. Umeona mwanaume kampangia chumba mke mdogo umeanza maneno mchepuko sijui vimada mara sijui hawara yanakuhusu nini?Hrb wana jamvi!nije kwenye mada husika.mwanaume anamke harali wa ndoa.ana kimada kakipangia chumba,ana mchepuko wa kudumu,ana girlfriend,rakini bado anazidi kutogoza na kuwatamani wanawake,wengine.swali?kufanya hivyo ni hufahari,kidume sana au nini hasa?inasemakana mwanaamke asipo tongozwa alau Mara tatu kwa Siku hujiona anamikosi,je ndo hari inayotupelekea kua wanaume kuwatongoza ili kufikisha lengo lao LA kutongozwa kira siku?na kwa nini mwanamke ukimuambia ukweli,akuamini,badala yake kuamini pindi akidanywa?na huu usemi unasema wanawake 10 sawa na mwanaume mmoja umetokana na nini?na kigezo gani kimetumika kutoa tasmini hyoo?kama hivyo ndivyo haki sawa inatoka wapi ikiwa ke10sawa me1?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika vitu gani?! Yaani we ni box tupu, labda sana unajua umbea, kula na ku...Hrb wana jamvi!nije kwenye mada husika.mwanaume anamke harali wa ndoa.ana kimada kakipangia chumba,ana mchepuko wa kudumu,ana girlfriend,rakini bado anazidi kutogoza na kuwatamani wanawake,wengine.swali?kufanya hivyo ni hufahari,kidume sana au nini hasa?inasemakana mwanaamke asipo tongozwa alau Mara tatu kwa Siku hujiona anamikosi,je ndo hari inayotupelekea kua wanaume kuwatongoza ili kufikisha lengo lao LA kutongozwa kira siku?na kwa nini mwanamke ukimuambia ukweli,akuamini,badala yake kuamini pindi akidanywa?na huu usemi unasema wanawake 10 sawa na mwanaume mmoja umetokana na nini?na kigezo gani kimetumika kutoa tasmini hyoo?kama hivyo ndivyo haki sawa inatoka wapi ikiwa ke10sawa me1?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utumbo huu lazima umetoroka shuleni kabla shule hazijafungwaUmeandika vitu gani?! Yaani we ni box tupu, labda sana unajua umbea, kula na ku...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungemuuliza mhusika kama anafanya ufahari au ni moja kati ya mahitaji yake ya muhimu.
Mambo mengine mngemalizana hukohuko mlikojulishana haya mambo ya mchepuko wake, girlfriend wake, mke wake na na huyo kimada aliyempangishia chumba.
Kwanza unafanya kazi gani kijana?
Mtumishi wa kiroho..Ungemuuliza mhusika kama anafanya ufahari au ni moja kati ya mahitaji yake ya muhimu.
Mambo mengine mngemalizana hukohuko mlikojulishana haya mambo ya mchepuko wake, girlfriend wake, mke wake na na huyo kimada aliyempangishia chumba.
Kwanza unafanya kazi gani kijana?