Huu ni udhalilishaji kama udhalilishaji mwingine tu

gbefa

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,801
15,798
katika hii nchi kila mtu ana mamlaka kikubwa tu awe serikalini au kwenye system ukiingia 18 zake umekwisha.

Utashangaa teja wa madawa ya kulevya anakamatwa wakati waingizaji wako wanakula bata hawajui habari za police au mahakamani.

Mlaji wa mwisho ndio muathirika kwanini hizi nguo au vitu vinavyofanania na hayo maswala ya kijeshi yasipigwe marufuku kuingizwa nchini.

Mtu kanunua nguo au beg kaona zuri sio kwa sababu yeye ni Mwanajeshi au lah no kaona zuri au kaona nzuri halafu wapumbavu kama hawa wanafanya hivi.

Tuna safari ndefu sana kimaisha

View attachment 2732629
Huu ni unyama na wanajeshi wahusika wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali. Hii karne watu wamestaarabika lakini kuna washenzi wanafanya mambo ya karne kumi zilizopita? Halafu hapa kuna wapumbavu wanaunga mkono. Kwa nini wasichukue hatua kwa mujibu wa sheria?
 
Kabisa ni kosa huyu effect ya huo moto atakayo pata ni kubwa ukichanganya na kipigo kinacho fuata hapo.
 
katika hii nchi kila mtu ana mamlaka kikubwa tu awe serikalini au kwenye system ukiingia 18 zake umekwisha.

Utashangaa teja wa madawa ya kulevya anakamatwa wakati waingizaji wako wanakula bata hawajui habari za police au mahakamani.

Mlaji wa mwisho ndio muathirika kwanini hizi nguo au vitu vinavyofanania na hayo maswala ya kijeshi yasipigwe marufuku kuingizwa nchini.

Mtu kanunua nguo au beg kaona zuri sio kwa sababu yeye ni Mwanajeshi au lah no kaona zuri au kaona nzuri halafu wapumbavu kama hawa wanafanya hivi.

Tuna safari ndefu sana kimaisha

View attachment 2732629
Kwan lazima kuvaa hayo manguo kutembea nayo mm nina pensi yangu kwanza nikiangalia ka mguu kangu kalivyo kama ka kipepe alafu nitoke na pensi ya jeshi najichekaga naishia kuivaa ndani ya fensi yangu staki fedheha za ajabu ajabu. Alafu swala la kusema zinauzwa mtumbani kwann wasikataze mitumba inayokuja nazo sasa kwa akili zako ukienda kununua unajitakia mema kweli. Muda mwingine tujali maisha yetu kwanza. Jambo sio lazima kufanya basi acha usifanye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom