T TumainiEl Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 7,276 Reaction score 14,318 May 22, 2016 #21 Laana mara nyingi hutafuta upenyo kuingia ktk ukoo. Kitendo cha wanafamilia kukubali issu imalizike kimyakimya wamekaribisha laana kubwa ktk ukoo mzima. Nibora wangemtoa sadaka uyo mmoja kukiponya kizazi.
Laana mara nyingi hutafuta upenyo kuingia ktk ukoo. Kitendo cha wanafamilia kukubali issu imalizike kimyakimya wamekaribisha laana kubwa ktk ukoo mzima. Nibora wangemtoa sadaka uyo mmoja kukiponya kizazi.
aliyetegwa JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 320 Reaction score 526 May 22, 2016 Thread starter #22 TumainiEl said: Laana mara nyingi hutafuta upenyo kuingia ktk ukoo. Kitendo cha wanafamilia kukubali issu imalizike kimyakimya wamekaribisha laana kubwa ktk ukoo mzima. Nibora wangemtoa sadaka uyo mmoja kukiponya kizazi. Click to expand... Umenena maneno magumu sana ambayo yanahitaji akili ya ziada kuweza kueleweka lakini ni ukweli mchungu.
TumainiEl said: Laana mara nyingi hutafuta upenyo kuingia ktk ukoo. Kitendo cha wanafamilia kukubali issu imalizike kimyakimya wamekaribisha laana kubwa ktk ukoo mzima. Nibora wangemtoa sadaka uyo mmoja kukiponya kizazi. Click to expand... Umenena maneno magumu sana ambayo yanahitaji akili ya ziada kuweza kueleweka lakini ni ukweli mchungu.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,626 May 22, 2016 #23 Nenda dawati la jinsia ripoti hiyo ishu. Hao wanafamilia wakamatwe waisaidie jamuhuri.
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,953 Reaction score 5,822 May 22, 2016 #24 Huwa siku zote nasema, anaepatikana kalawiti au kabaka, cha kwanza ni kumkata mb** yake mnampa aishike. Halafu taratibu zingine zifuate.
Huwa siku zote nasema, anaepatikana kalawiti au kabaka, cha kwanza ni kumkata mb** yake mnampa aishike. Halafu taratibu zingine zifuate.