Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 369
- 1,093
Salaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana Kuna watu anamotivate)
Sisemi kwa vibaya ila mfano kaka mkubwa muuza viwanja maarufu Dar (Boss Kwezi) licha ya attention kubwa na umaarufu wa matangazo yako ya viwanja kulikuwa Kuna haja gani ya kuweka picha yako.
Haya Kuna mgahawa upo Kinondoni, jamaa baada ya kuweka picha ya vyakula anaweka bango kubwa Yuko yeye na watoto wake.
Tunaomba maoni mbali mbali toka kwa wadau maana Kuna mtu nilimsikia anasema picha Huwa ina maana kiroho, je ni kweli ndio maana sasahv hata Lucie Stationary eti nae amejiweka pale kwenye bango picha kubwa yupo na taipu leta.
Nawasilisha.
Kidumu chama Cha mapinduzi........