Huu ni ubaguzi wa waziri kabisa, ni ukaburu

Umenitoa Gizani

JF-Expert Member
Dec 3, 2016
387
179
Kumekuws na matukio ya kuumiza vibaya wenzetu kutoka nje wsnsofanya kazi hapa Tanzania. Uumizaji huu kwa uchunguzi wangu si wa kawaida kwani una ukstili ndani yake. Emmanuel Okwi na Chidiebere kuumizwa na Aggrey Morris. Obrey Chirwa kukabwa koo kikatili na beki wa Jkt Ruvu, Amis Tambwe kukabws koo naGadie Maiko.

Wachezaji wa ndani hawatendewi unysma huu. Inaweza kuwa vyombo vya habari kulalamikia mapato mskubwa ya haws wachezaji imekuwa chanzo
 
Andika vizuri ueleweke.

Kaa chini, kunywa maji, vuta pumzi, pumzika Kama dakika 5 hivi.......alafu rejea kusoma ulichokiandika..
 
Kumekuws na matukio ya kuumiza vibaya wenzetu kutoka nje wsnsofanya kazi hapa Tanzania. Uumizaji huu kwa uchunguzi wangu si wa kawaida kwani una ukstili ndani yake. Emmanuel Okwi na Chidiebere kuumizwa na Aggrey Morris. Obrey Chirwa kukabwa koo kikatili na beki wa Jkt Ruvu, Amis Tambwe kukabws koo naGadie Maiko.

Wachezaji wa ndani hawatendewi unysma huu. Inaweza kuwa vyombo vya habari kulalamikia mapato mskubwa ya haws wachezaji imekuwa chanzo
ndo kwa sababu una hasira au? umeandika hovyo hovyo, wakati mwingine utulie unapoandika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom