Huu ni uandishi au uchizi wanahabari wetu mmesome chini ya mwembe?

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,094
DSC00770.jpg
 
Kutoa msaada nako ni jipu, kupita kwenye daraja la kigamboni nako ni jipu, du huu si waandishi ni kijikomba. Waandishi wetu wajifunze kuandika habari siyo huu ushabiki, hii gazeti sijui kama leo litapata mnunuzi, kwani limekaa kiudaku zaidi.
 
Back
Top Bottom