Huu ni mwezi wa mtifuano mkubwa

Huu ni mwezi wa mtifuano mkubwa

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,353
Reaction score
2,849
Kwamba, CCM imepanga kuwatumia Dr. Slaa, Humphrey pole pole na Zitto kumshambulia Lowassa na Ukawa kwa hoja za Richmond na eti, Edward Lowassa aliwahonga Chadema ili wampokee, yaan Lowasa ana pesa jamani duuu!!

Kwamba, CCM chini ya J. Makamba na Hamis Kigwangala wamepanga kuwarubuni kundi la 4U Movement kwa kuwahonga pesa ili wajiengua, hawa ni wale wa Mikoani na Wilayani.

Kwamba, CCM imepanga kuwafarakanisha 4U MOVEMENT and BAVICHA, yaan siasa ya Tanzania tamu sana, maana ni ya maji taka, sijui nchi za wenzetu nazo zinafanya hivi?

Kwamba, Samweli Sitta na Mwakyembe wanaandaa hotuba ya Rais itakayosomwa tarehe 24/10/2015 ambayo itasheheni tuhuma za Richmond kwa kumhusisha Lowassa, na itataja Makampuni ya Lowassa na kuyahusisha na ukwepaji kodi....duuuu.....!

Hiyo hotuba itakuwa imetia fora duniani....maana sharti la kikatiba la kugombea Urais ni kwamba "asiwe alishakutwa na kosa la ukwepaji kodi" sasa Rais atakuwa anaigiza mchezo wa kihindi-hindi hivi...
 
Wamechelewa airplane ya lowasa imeshawasili airport siku nyng
 
Duh kama ni kweli serikali nina mashaka na uelewa wa viongozi wetu wa nchi.
 
jumbo jet lipo 40,000ft kutoka usawa wa bahari wamechelewa vibaya sana kwa muda huu watahatarisha usalama wa nchi
 
Its toooooooooooo laaaaaaaaaaaaaaaate!!!!!!!!!!!.
 
kiukweli hawa jamaa wanahangaika sana,lakini swali ni je kwani ni lazima hawa masisiem waongoze Tanzania maisha yao yote?wameshajisahau na ni muda muafaka sasa wakae pembeni wajipange upya
 
Kwamba, CCM imepanga kuwatumia Dr. Slaa, Humphrey pole pole na Zitto kumshambulia Lowassa na Ukawa kwa hoja za Richmond na eti, Edward Lowassa aliwahonga Chadema ili wampokee, yaan Lowasa ana pesa jamani duuu!!..
sidhani kama hili linawezekana, kama ni kweli basi ukitaka kuwa adui wa watanzania muda wowote ule wewe panda jukwaani then anza kumkashifu UKAWA, anza kumkejeli na kumtukana Mgombea wa Umoja wa Ukawa Mh. Lowassa!! bila usaidizi wa Jeshi la Police basi utakuwa huondoki hapo Jukwaani, wananchi wanaweza kubaki na wewe kwa muda.

Kwa sasa hakuna mtu, narudia tena HAKUNA mtu yeyete mwenye ushawishi ati wa kumkashifu Lowassa na umma wa watanzania wakamsikiliza na wakabadilika - hili haliwezekani.

Watanzaia wameshaamua na wana hasira sana kwamba tarehe 25th inachelewa. Cha msingi ni wao CCM wake waone ni wapi wamejikwaa then wajipange upya next time, kwa sasa Treni la mageuzi lipo salanda linachanja bunga kuelekea Kigoma- ukijaribu kukaa mbele yake tu umekwisha!!
 
Mode Tafadharini, Muuache huu uzi jinsi Ulivyo, muwe Neutral tafadhari.

Kwamba, CCM imepanga kuwatumia Dr. Slaa, Humphrey pole pole na Zitto kumshambulia Lowassa na Ukawa kwa hoja za Richmond na eti, Edward Lowassa aliwahonga Chadema ili wampokee, yaan Lowasa ana pesa jamani duuu!!

Kwamba, CCM chini ya J. Makamba na Hamis Kigwangala wamepanga kuwarubuni kundi la 4U Movement kwa kuwahonga pesa ili wajiengua, hawa ni wale wa Mikoani na Wilayani.

Kwamba, CCM imepanga kuwafarakanisha 4U MOVEMENT and BAVICHA, yaan siasa ya Tanzania tamu sana, maana ni ya maji taka, sijui nchi za wenzetu nazo zinafanya hivi?

Kwamba, Samweli Sitta na Mwakyembe wanaandaa hotuba ya Rais itakayosomwa tarehe 24/10/2015 ambayo itasheheni tuhuma za Richmond kwa kumhusisha Lowassa, na itataja Makampuni ya Lowassa na kuyahusisha na ukwepaji kodi....duuuu.....! hiyo hotuba itakuwa imetia fora duniani....maana sharti la kikatiba la kugombea Urais ni kwamba "asiwe alishakutwa na kosa la ukwepaji kodi" sasa Rais atakuwa anaigiza mchezo wa kihindi-hindi hivi...

Naombea hili litokee ili wapiga kura waelewe Lowassa hafai; mtu hawezi kujieleza, hana hoja anatembea na furushi la ahadi, haruhusu wenzake waongee hoja za kupambana na majitaka ya sisiem, amekuwa jeshi la mtu mmoja; yani hafai kabisa. Mgombea gani hana falsafa inayojenga misingi ya ahadi zake na dira ya taifa anafanya ukasuku wa ahadi unaoweza kufanywa na mtu yoyote. Hana uwezo wa kujenga hoja, siasa ni haoja hafai kabisa. YOTE HAYA YANAKUJA KUTOKANA NA UDHAIFU HUO
 
Nasikia magufuli anatoka juu ya roof ya gari
Alafu naskia anasema yeye sio mwanasiasa
 
Naombea hili litokee ili wapiga kura waelewe Lowassa hafai; mtu hawezi kujieleza, hana hoja anatembea na furushi la ahadi, haruhusu wenzake waongee hoja za kupambana na majitaka ya sisiem, amekuwa jeshi la mtu mmoja; yani hafai kabisa. Mgombea gani hana falsafa inayojenga misingi ya ahadi zake na dira ya taifa anafanya ukasuku wa ahadi unaoweza kufanywa na mtu yoyote. Hana uwezo wa kujenga hoja, siasa ni haoja hafai kabisa. YOTE HAYA YANAKUJA KUTOKANA NA UDHAIFU HUO

Wewe acha imakumaku tutakunyoso mda si mrefu . Hao ccm wanojua kuongea wamefanya nini cha maana sasa kwa taharifa yako hata mfanyeje kuibadili akili yangu hamuwezi nimeshaamua kura yangu kwa lowasa tu. Narudia tena acha UMAKUMAKU TUTAKUNYOSO TUKUSHTUE.
 
Mimi naona kama umetoa povu la kikongomani kujifurahisha; sioni hoja wala maana halisi
 
Back
Top Bottom