Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
- Thread starter
- #21
Amina sana Mbarikiwe sana nyote mlio upokea ujumbe wa BWANA,neno la Mungu lowe taa na mwanga wa njia zetu,tudumishe upendo,Amani na tuzishike sheria za Mungu ili Roho mtakatifu akae ndani yetu daima.Muwe na maisha marefu yaliyo jaa Baraka na Amani.Amen