Yea, na ndo kwanza mwaka wa kwanza. Tukawa tunamuita Baba wa Mataifa.Jumla watoto 6?
Mtoto vipande vipande au siyo!!Hapo anazaliwa mtoto,sura ya mtu mwingine,macho ya mtyu mwingine,miguu ya mtu mwingine,tabia ya mtu mwingine,DNA ya mtu mwingine.
ππ AiseeNikiwa chuo nilikutana na mshikaji mmoja hivi aliwapa mimba mabinti wawili kwa mpigo wale mabinti kila mmoja alijifungua mapacha 3.
Yap,kila mtu alijazia kwa upande wake.Mtoto vipande vipande au siyo!!
ππ6 tayr dohNikiwa chuo nilikutana na mshikaji mmoja hivi aliwapa mimba mabinti wawili kwa mpigo wale mabinti kila mmoja alijifungua mapacha 3.
πππ jamaa konkiii aoe wote hapoHalafu ukute wote jinsia moja
eMtoto mmoja tu ni mtihani halafu hao 6 kwa mpigo na ndo anamaliza shule ni lazima adate
HahYea, na ndo kwanza mwaka wa kwanza. Tukawa tunamuita Baba wa Mataifa.