Huu ni mtihani mzito sana

Huu ni mtihani mzito sana

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Hapo lazima ukimbie tu
Screenshot_20200530-232148_Twitter.jpeg
 
Hapo anazaliwa mtoto,sura ya mtu mwingine,macho ya mtyu mwingine,miguu ya mtu mwingine,tabia ya mtu mwingine,DNA ya mtu mwingine.
 
Mtoto mmoja tu ni mtihani halafu hao 6 kwa mpigo na ndo anamaliza shule ni lazima adate
Yea, na ndo kwanza mwaka wa kwanza. Tukawa tunamuita Baba wa Mataifa.
 
Wengine hua wanawaachia wazazi wao wawasaidie kulea ...so hawawazi wala nini
Mtoto mmoja tu ni mtihani halafu hao 6 kwa mpigo na ndo anamaliza shule ni lazima adate
e
 
Back
Top Bottom