nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,956
- 14,777
Frederick Trump raia wa Germany aliehamia Marekani mwaka 1906 alijihusisha na Biashara ya kuendeleza real Estate ambapo mwaka 1918 alifariki kwa ugonjwa wa influenza na aliacha Real Estate zikiwa na thamani ya $31,359 (2016 ni saw na $492,016)
Mke wake Elizabeth Trump aliziendeleza Estate hizo kwa kujenga nyumba na kuziuza na kupangisha.
Mwaka 1923 Elizabeth kwa kushirikiana na mwanae Frederick Trump jr walianzisha company iliyojulikana kwa jina la Elizabeth Trump and Son.
Frederick Trump jr aliendeleza company kwa ushirikiano na mama yake.
1968 Donald Trump alijuunga rasmi kwenye Company hiyo na akapewa uongozi mwaka 1971. Baadae akaibadilisha jina company hiyo na kuiita The Trump Organization.
2015 ilikisiwa kua Trump real Estate holding company ilikua na kiasi cha $ 3.5 billions.
Na sasa ina waajiriwa 22,450.
Frederick Trump aliianzisha biashara hii miaka 110 iliyopita na kuirithisha kwenye familia yake ambapo miaka 93 iliyopita ndio company ilianzishwa.
Frederick Trump alimuachia mke wake Estate yenye thaman ya $31,359 sawa na $ 492,016 leo hii.
Ila mkewe hakutaka kufanya starehe au kuziuza na kutumia pesa kwa kula bali aliendeleza alipoishia mumewe na akaziendeleza ndoto za mumewe. Hata Frederick Trump jr hakutapanya mali za baba yake na badala yake alishirikiana na mama yake kuziendeleza na baadae akamshirikisha mwanae Donald Trump na kumfundisha jinsi ya kufanya biashara na akampeleka Wharton School of the University of Pennsylvania kujifunza biashara na uchumi ili aje aendeleze mali ya ukoo.
Je sisi Wa Africa tuna utamaduni huu?
Babu zetu wametuachia urithi gani?
Baba zetu wametuachia urithi gani?
Wazazi wetu wanatufundisha nini juu ya kutengeneza pesa au wanatufundisha kila siku tuwe tunawaomba pesa yaani mpala hela ya maali tuwaombe..
Au ndio wanatufundisha kua urithi ni Elimu na tukishamaliza tukaajiriwe?
Nini unawafundisha watoto wako je unawashirikisha kwenye biashara zako au unahisi kuwadekeza na kuwapa kila wanachotaka bila kuwafundisha jinsi ya kutafuta pesa kwenye biashara zako ndio malezi mema..
Je wazazi wenu wanapofariki mali walizochuma ikiwemo nyumba na mashamba hua mnayafanyaje?
Mnauza au hua mnaendeleza mali hizo?
Utajiri hauletwi na serikali bali hua unaanzia kwenye ngazi za familia kazi ya serikali ni kuandaa mazingira bora ya biashara na ajira pamoja na ulinzi wa wananchi kuanzia kwenye huduma za kijamii na usalama wa raia.
........... fikra zetu
............ ya shule peke yake sio urithi sahihi kwa watoto wetu.