huu ni mgao wa umeme au ni nini?

huu ni mgao wa umeme au ni nini?

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,000
Reaction score
9,975
tangu jana mitaa ya sinza na mwenge umeme unazimika asubuhi na kurudi usiku sana... kama ni mgao basi watangaze watu tujipange
 
Umeme umepanda bei ndugu, kwa hiyo haupatikani kiurahisi.Sio nyie tu, hata huku bush madongo kuchechemea
ndo hivyo!
 
tangu jana mitaa ya sinza na mwenge umeme unazimika asubuhi na kurudi usiku sana... kama ni mgao basi watangaze watu tujipange

1478950_10153520074180593_577181447_n.jpg
 
Mgao wa umeme si walisema utakua historia? hii labda wanatusaidia kusave unit zetu
 
Hahahaaa..kweli tunasaidiwa kusave unit....hata mimi naliona hili.
 
Professor Mhongo alisema hakutakuwa na mgao tena.. Kwa hiyo huo sio mgao.. Mnasaidiwa kupunguza matumizi yenu ya umeme ili mwisho wa mwezi malipo yenu kwa matumizi ya umeme yawe madogo..
Maisha bora..
 
Hahahaaa..kweli tunasaidiwa kusave unit....hata mimi naliona hili.

Wuonee huruma! Vibanda vyao (saluni, ...) wamefunga. Sijui itakuwaje (hakuna jenereta), muda si mrefu kodi zinahitajika, matumizi, ... Waonee huruma wazalishaji viwandani wanaonunu mafuta na kugharamia majenereta kwa gharama kubwa. Waonee huruna hata Prof. Muhongo asikie.
 
inatia huruma saaana......badala ya kusave kidogo walichonacho hiko hiko inabidi

kuanza kukisambaza kwenye mambo mengine..hii nchi hii
 
Back
Top Bottom