Ahsante MSEMAJI WA JWTZ!Siyo kila taarifa ya msiba (kifo cha mwanajeshi) mtataarifiwa, mengine yanabaki mambo ya familia, jeshi na nchi.
Jeshi na familia ya marehemu ikishajua inatosha. Au mnataka kila anapokufa mwanajeshi mpewe taarifa ili iweje mrekodi takwimu za vifo vyao au?
Asante kamanda wa polisi mkoa wa makao makuu.Ahsante MSEMAJI WA JWTZ!
Siyo kila taarifa ya msiba (kifo cha mwanajeshi) mtataarifiwa, mengine yanabaki mambo ya familia, jeshi na nchi.
Jeshi na familia ya marehemu ikishajua inatosha. Au mnataka kila anapokufa mwanajeshi mpewe taarifa ili iweje mrekodi takwimu za vifo vyao au?
Nimeona kamanda.Umeona like yangu huko?
Ilitakiwa umma ujue kuwa kuna vifo vya wanajeshi?Na mwezi wa pili mwaka huu kuna wengine watatu wamekufa Sudani, gari lao lilikanyaga bomu la kutegwa ardhini, watatu walkufa palepale na baadhi majeruhi ambapo mmoja kati yao hana miguu. Binafsi nimejua kwa kuwa ni rafiki ya ndugu wa marehemu, lkini hawakutangaza popote. Rip makamanda
Kwani umma ukijua kuna shida? Kujua kuwa kuna makamanda wetu kadhaa wamekufa wakiwa katika majukumu yao ya kazi sioni tatzo as long as wanalipwa na kodi za watzIlitakiwa umma ujue kuwa kuna vifo vya wanajeshi?
Kwenye mkataba wake wa kazi jina lako lipo?Kwani umma ukijua kuna shida? Kujua kuwa kuna makamanda wetu kadhaa wamekufa wakiwa katika majukumu yao ya kazi sioni tatzo as long as wanalipwa na kodi za watz
Na vipi wale 13 na wengine wanaowatangaza, katika mkataba wao wa kazi majina yetu/yangu yapo? Acha maswali ya kitotoKwenye mkataba wake wa kazi jina lako lipo?
'Siyo kila habari ni habari' Mbwa kuuma mtu siyo habari tena ila mtu kuuma mbwa ni habari kubwa sana.Na vipi wale 13 na wengine wanaowatangaza, katika mkataba wao wa kazi majina yetu/yangu yapo? Acha maswali ya kitoto
Leo Muhimbili au hospitali yoyote ile kubwa kuna watu wengi wameaga dunia kwa sababu ya maradhi mbalimbali ila vyombo vya habari wala haviwezi kwenda kufuatilia taarifa hiyo.Na vipi wale 13 na wengine wanaowatangaza, katika mkataba wao wa kazi majina yetu/yangu yapo? Acha maswali ya kitoto
Mkuu uyu classmet wangu alipigwa Radi ni vbaya umma ukijuaa??Leo Muhimbili au hospitali yoyote ile kubwa kuna watu wengi wameaga dunia kwa sababu ya maradhi mbalimbali ila vyombo vya habari wala haviwezi kwenda kufuatilia taarifa hiyo.
Ila kufa wewe kwenye ajali na wenzako 30 lazima turipoti taarifa za msiba wako kwenye vyombo vya habari.
Asante.
Classmate wako! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hulijui jeshi wewe.Mkuu uyu classmet wangu alipigwa Radi ni vbaya umma ukijuaa??