Huu ndo usafiri wa Meya wa Moshi..

Huu ndo usafiri wa Meya wa Moshi..

Kitambi toroli

New Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
2
Reaction score
5
meya.JPG

Siku za karibu Meya wa Moshi Japhary Michael Chadema ameonekana akipenda zaidi kutumia usafiri wa bodaboda katika majukumu yake ya hapa na pale,hata baada ya kumalizika kwa baadhi ya mikutano ameonekana akipanda pikipiki maarufu kama bodaboda ili kuweza kusalimiana na wananchi wake.

Hofu yangu ni kwamba Meya anatakiwa kuwa makini sana kwani CCM wanaweza kutumia nafasi hiyo ya kutumia bodaboda kummaliza kwani usafiri wa pikipiki ni hatari na rahisi kwa mtu anayepewa jukumu la kummaliza mtu kulitekeleza kwa urahisi hususani ni siasa zetu za tanzania za uadui.

Ila katika hatua nyingine ni fursa ya yeye kujua changamoto mbalimbali kwa wananchi wake kwani anaweza kukutana na hata kushuhudia changamoto mbalimbali zilizopo kwenye Manispaa yake,kuliko kupanda kwenye gari muda wote na kufunga vioo.
 
Miaka kadhaa iliyopita Meya mmoja wa manispaa za DSM aligomea gari ya Milioni 130. Alitaka gari ya milioni 200!
 
Mameya wa namna hiyo.wapo wengi kwenye manispaa na haashauri.zetu.............. Cha kushangaza hata meya feki wa kichina anataka akanunuliwe hammer
 
Hofu yangu ni kwamba Meya anatakiwa kuwa makini sana kwani CCM wanaweza kutumia nafasi hiyo ya kutumia bodaboda kummaliza kwani usafiri wa pikipiki ni hatari na rahisi kwa mtu anayepewa jukumu la kummaliza mtu kulitekeleza kwa urahisi hususani ni siasa zetu za tanzania za uadui.

CHADEMA kwavile mmeshazoea kuua watu na nyie mawazo yenu ni kuwaza mtauliwa tu! Acheni mambo ya kipuuzi.

CHADEMA mnazidi kuiharibu hii nchi.
 
View attachment 92379

Siku za karibu Meya wa Moshi Japhary Michael Chadema ameonekana akipenda zaidi kutumia usafiri wa bodaboda katika majukumu yake ya hapa na pale,hata baada ya kumalizika kwa baadhi ya mikutano ameonekana akipanda pikipiki maarufu kama bodaboda ili kuweza kusalimiana na wananchi wake.

Hofu yangu ni kwamba Meya anatakiwa kuwa makini sana kwani CCM wanaweza kutumia nafasi hiyo ya kutumia bodaboda kummaliza kwani usafiri wa pikipiki ni hatari na rahisi kwa mtu anayepewa jukumu la kummaliza mtu kulitekeleza kwa urahisi hususani ni siasa zetu za tanzania za uadui.

Ila katika hatua nyingine ni fursa ya yeye kujua changamoto mbalimbali kwa wananchi wake kwani anaweza kukutana na hata kushuhudia changamoto mbalimbali zilizopo kwenye Manispaa yake,kuliko kupanda kwenye gari muda wote na kufunga vioo.

Ni changamoto nzuri kwa viongozi wengine, maana si tu wanatumia magari bali pia yako tinted. Utashangaa wakati wa kuomba kura anajidai mwenzetu akipewa hataki tumuone. Hongera sana Mstahiki Meya Japhari Michael ila pia kuwa makini taarifa ya usalama barabarani inaonesha kuwa bodaboda zinaongoza kwa ajali.
 
CHADEMA kwavile mmeshazoea kuua watu na nyie mawazo yenu ni kuwaza mtauliwa tu! Acheni mambo ya kipuuzi.

CHADEMA mnazidi kuiharibu hii nchi.

Umeona!!
 
dah. ww Sumu ni kiboko. kila post upo?? naanza kuamini kwamba inaewezekana hii ni ajira..
 
Kwa nini asitumie kisuzuki vitara mfupa (old model) kuliko pikipiki? Pikipiki sio salama hata kidogo na yeye ni kiongozi anaweza kuwa na maadui wengi.
 
CHADEMA kwavile mmeshazoea kuua watu na nyie mawazo yenu ni kuwaza mtauliwa tu! Acheni mambo ya kipuuzi.

CHADEMA mnazidi kuiharibu hii nchi.

We kijamba koti vp? Unajichanganya tu mara hili lile, jitambue au kama ngumu njoo uwekwe sawa.Kwani has disrupted.
 
hamna mnachowaza zaidi ya kuuwana tuu. kwel hili chama la magaidi. kwann hamna uhakika na maisha yenu.
 
View attachment 92379

Siku za karibu Meya wa Moshi Japhary Michael Chadema ameonekana akipenda zaidi kutumia usafiri wa bodaboda katika majukumu yake ya hapa na pale,hata baada ya kumalizika kwa baadhi ya mikutano ameonekana akipanda pikipiki maarufu kama bodaboda ili kuweza kusalimiana na wananchi wake.

Hofu yangu ni kwamba Meya anatakiwa kuwa makini sana kwani CCM wanaweza kutumia nafasi hiyo ya kutumia bodaboda kummaliza kwani usafiri wa pikipiki ni hatari na rahisi kwa mtu anayepewa jukumu la kummaliza mtu kulitekeleza kwa urahisi hususani ni siasa zetu za tanzania za uadui.

Ila katika hatua nyingine ni fursa ya yeye kujua changamoto mbalimbali kwa wananchi wake kwani anaweza kukutana na hata kushuhudia changamoto mbalimbali zilizopo kwenye Manispaa yake,kuliko kupanda kwenye gari muda wote na kufunga vioo.

Narrow minded! mtu akitaka kukuua, gari siyo kinga! hii nchi mnaipeleka wapi? kila kitu mnawaza mauaji!
 
We kijamba koti vp? Unajichanganya tu mara hili lile, jitambue au kama ngumu njoo uwekwe sawa.Kwani has disrupted.

Haijatambui huyo bado kalaza ubongo wake ndo wale vidampa wa raba za ccm 2015
 
Kwa nini asitumie kisuzuki vitara mfupa (old model) kuliko pikipiki? Pikipiki sio salama hata kidogo na yeye ni kiongozi anaweza kuwa na maadui wengi.

Kumbe mnajua pikipiki sio salama sasa imekuaje mkaziruhusu kisheria kubeba abiria huo si upuuzi?
 
Izo siasa hakuna lolote atangepanda baiskel nn pikipiki mbona bado yupo juu sisi tunataka uwajibikaji ayo mengine mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom