Huu ndo unafiki wa Serikali ya JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ndo unafiki wa Serikali ya JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngoshwe, May 29, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145


  Tarehe: 27 Agosti, 2004 Serikali ilipitisha Waraka Na. 7 wenye Kumb. Na: EA 45/257/01 ambao ulikuwa na nia ya kuweka ukomo wa safari za watumishi wa Umma nje ya vituo vyao vya kazi ambazo kwa mwaka hazipaswa kuzidi siku 60.

  Binafsi napata tabu sana na kuiona hii ni Serikali ya kinafiki. Ukifanya hesabua za Safari za Nje za vituo za Viongozi wetu kuanzia Mkuu wa Nchi, Mawaziri, Watendaji Wakuu akiwemo huyo Katibu Mkuu Kiongozi Mtoa Waraka ni dhairi kuwa zaweza kukaribua siku 365 (yaani mwaka mzima). Nini Mantiki ya huu Waraka ambao wao ndio chanzo cha Ukiukaji??
  View attachment WARAKA_Safari_ za_Kikazi[1].pdf
   
 2. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mie naona kuwa pengine huwa yanatolewa maelezo ya kina kumridhisha msimamizi wa kituo cha kazi pale zinapozidi siku 60............
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Waraka huu ulikuwa relevant wakati wa serikali ya Mkapa, serikali ya muungwana inatawaliwa kwa utashi wa wanamtandao na ndio maana Membe na muungwana kila siku kiguu na njia!! Hawajui hata kama kuna waraka kama huo!
   
 4. D

  Domisianus Senior Member

  #4
  May 29, 2010
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2:2. Pale inapobidi kuzidisha siku sitini itabidi yatolewe maelezo ya kina
  yatakayomridhisha msimamizi wa kazi.


  Hiki kipengele siyo kizuri sana na hakiko bayana, kiko biased sana, maelezo ya kumridhisha msimamizi wako wa kazi ni yapi hasa?
  Its much depend on discretion of your boss and sometimes how do you shake your tail to your boss.Those guys who see things in different perspective (3D) are in problems.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Its all about being double faced body!
   
 6. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kWA KWELI INAMWIA MTU MWENYE BUSARA ZA KADIRI UPEO MGUMU WA KUBAINI HAYA MADUDU YA SERIKALI, HIVI KWA MFANO UKIJIULIZA MTU KAMA KATIBU MKUU KIONGOZI, WAZIRI AU RAIS MWENYEWE, NI NANI ANAWEZA KUMZUIA KUSAFIRI KWA KUFUATA HICHO KIPENGELE KAMA SI UNAFIKI?. INAONEKANA KUWA WARAKA HUU ULIKUWA UNAZUIA KWA UPANDE MMOJA NA KUHALALISHA KWA UPANDE MWINGINE..NA SIJUI KAMA HATA HIZO RUHUSU ZINAZOTAKIWA BAADA YA KUZIDISHA SIKU 60 ZINAZINGATIWA.
   
 7. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2014
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo. Hata wezi hukaa mezani na wakubwa kujadili namna ya kumaliza soo bila kufuata mkondo wa sharia.

  Usishangae jamaa ndani ya Serikali wanabadilisha mabegi airport.
   
Loading...