Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,313
- 7,885
Si utani! πKamatia dhunguu iloo
Usikonde! π€‘Hahahaaha
Kwa hiyo ajira Ulaya zimeisha wanakuja kutafuta kazi kwetu
Ila huyo wa kwako atakuwa kavuta pension yake na umri over 60
Hongera sana niulize na mimi kama mama yake yupo
Hiyo hela yake akiileta Bongo anakuwa muwekezaji kabisa, ... na mimi kama afisa muajili ( Personnel officer) nitafaidije pisi kali za Kibongo!!? πhaha daah bongo ili uwin maisha inatakiwa uwe mbunifu aisee,jamaa kabuni mradi wake wa kula miaka kumi bila kufanya kazi
hongera zako mkuu sasa kazi yako ni kutafuta hela ya kodi tu
Nimeshindwa kukuelewa mangi, mara ana uzuri wa kibongobongo mara mama wa watu mzungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Maulaya kuna wazungu wana maumbile ya wanawake wanaokubalika kwa viwango vya Bongo, japo wazungu wenzao wanapenda vi'english-figure'!Nimeshindwa kukuelewa mangi, mara ana uzuri wa kibongobongo mara mama wa watu mzungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
... alishanipa midolari mara kibao! ... na wala sio ile ya kuombwa eti dollars 100 kama gharama za kutumia za wahuni wa Lagos! πMuombe hela akikutumia uje unambie, asije kua yale masela ya nigeria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaha
Kwa hiyo ajira Ulaya zimeisha wanakuja kutafuta kazi kwetu
Ila huyo wa kwako atakuwa kavuta pension yake na umri over 60
Hongera sana niulize na mimi kama mama yake yupo
Unamzungumzia Bebe Rexha( a singer) ana paja na tako la ki TzHata Maulaya kuna wazungu wana maumbile ya wanawake wanaokubalika kwa viwango vya Bongo, japo wazungu wenzao wanapenda vi'english-figure'!
... ninaposema mzungu ana uzuri wa kibongobongo namaanisha sio kipotabo! π
Tuanzie hapa kwanza, "Matembele na Kisamvu" ulimtajia majina gani kwa lugha yenu ya mawasiliano? [emoji2][emoji2][emoji2]Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! [emoji28] ... maana kwakweli ni pisi kali, ... mwenyewe ana uzuri wake wa kibongobongo, tako-tako, curvy, mzuri wa sura ... halafu na pesa ya kutumia inamtosha!
Sasa si Putin akalianzisha lile 'MBUNGI' la Ukraine na 'WATU' wameanza kugundua kuwa hata huko maulaya kumbe nako sio tuuu!!!?
Juzi huyo rafiki yangu wa facebook akaanza kuniuliza bei ya vyakula mbalimbali Bongo ... bila ajizi nikamuambia kilo ya mchele ni chini ya dollars mbili, kuku wa kienyeji, jogoo, chini ya $10, samaki kilo moja, hapa Mwanza, ni chini ya $5, ... na bado kuna matembele yale yanayojioteaga tu yaani kule nyuma ya bafu ... yenyewe anajichumia tu bure! ... Demu kusikia hivyo si udenda ukamtoka! [emoji28]
Kaniambia yeye anakula 'junk food' kwa bei zinazoenda kumfilisi kwa muda wa miezi kadhaa tu na kwamba kwa hela aliyonayo anaweza kula na mimi, mke wangu na watoto wangu wawili tukiwa hapa Bongo kwa zaidi ya miaka kumi bila ya kufanya kazi! ... yaani sasa hivi mama wa watu, mzungu, anasubiri rukhsa ya my wife tu aje kuwa mke wa pili kuwa gharama zake!
HALAFU WABUNGO ETI WANADHARAU MATEMBELE NA KISAMVU! [emoji28] ... TUJIHADHARI MAANA SI MUDA MREFU WAZUNGU WATATUVAMIA KUFATA HAYOHAYO MATEMBELE!
Hiki ulichokiandika ni ukweli. Yupo mmoja aliniomba aje kuishi kwangu kwamba hana hela ya kuishi hotelini Zanzibar na hajui atarudi lini kwao Ukraine kwasababu ya vita.Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! [emoji28] ... maana kwakweli ni pisi kali, ... mwenyewe ana uzuri wake wa kibongobongo, tako-tako, curvy, mzuri wa sura ... halafu na pesa ya kutumia inamtosha!