Huu Ndiyo mwanaume wa Ukweli

Huu Ndiyo mwanaume wa Ukweli

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,934
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye KAMILI maana tupo aina tofauti tofauti,,.

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player

So listen to your heart..., na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.
 
Ngoja waje wanawake wajifunze
 
yaani hata hamuelewekagi mnataka nini.
 
Ni kuridhika na ulichonacho na tuwe wenye kiasi (usawaziko katika mambo)
 
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye KAMILI maana tupo aina tofauti tofauti,,.

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player

So listen to your heart..., na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.

Jaribu kumtafuta ' Mtekaji ' kwani pengine anaweza kukupa Mapenzi uyatakayo na hata ' kuyateka ' yote vile vile.
 
kuna ka ukweli ila na wanawake ndo hivyo hivyo pia
ma beauty wengi ni empty mind
 
Back
Top Bottom