Huu ndiyo mfano wa kuigwa kwa vyombo vya habari na wabunge kwa kuingia vijijini

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Mbunge wa Jimbo la Kibaha vijijini Hamoud Abuu Jumaa ni mfano wa kuigwa katika kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya chama chake baada ya uchaguzi.

Na chombo cha habari cha Global Publisher nao mfano kwa vyombo vyote vya habari nchini kwa kutembelea vijijini kuona jinsi huduma kwa wananchi zinavyotolewa.

 
Back
Top Bottom