Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,667
- 12,289
Habari zenu wakuu?
Jana saa 21:52(usiku) nilitumiwa SMS kutoka kwenye simu +2557523057.. ikiwa na ujumbe huo chini
"Hakiki jina lako kama lipo kwenye daftari la kura fanya yafatayo *152*00# FATA MAELEKEZO KISHA WEKA NAMBA YA KITAMBULISHO"
Nimejiuliza kwanini nitumiwe SMS hiyo usiku,ina maana hao wahakiki wa NEC wanafanya kazi 24hrs?
Nimeshindwa kufuata maelezo yao kwa kuogopa isije ikachukuliwa namba ya kichinjio/kitambulisho changu kishe ikapiga kura ya NDIO kabla ya muda kufika na ikifika 25/10/ wakahesabu kura ya ndio na mimi mwenyewe kuzuiliwa kupiga kura.
Mwenye uelewe zaidi naomba anijuze hapa kwa manufaa ya wengi.
Asanteni wote.