Mkuu upo sahihi kabisaUkiangalia machafuko yote ya kidini utakuta lazima kuna wanasiasa waovu nyuma yake.
Sehemu nyingi Watu wa dini zote wamekua wakikaa kwa Amani kwa upendo na kusadiana mpaka wanasiasa wanapoingilia kuwagawanya ili wapate kura za upande mmoja.
Mkuu upo sahihi kabisa
1.Hapa Dar-es-salaam kanisa la Kianglikana ilala limejenga mradi wa maduka kwa mkataba na asiyekuwa Muanglikana wala Mkristo ni Mwislamu.
2.Kanisa la Mtaa Uhuru opp. Shule ya Uhuru Wasichana limeuzwa aliyenunua Mwislamu kabadili matumizi kaweka maduka.
Hii ni mifano michache kati ya mingi hapa kwetu Tanzania.