Bado bado mzee sijapata time nzur ya kushusha nondo lakin ngoja ipite week hii
Mbona mbali Mzee babaBado bado mzee sijapata time nzur ya kushusha nondo lakin ngoja ipite week hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeee hilo jina nilikuwa nalijua kw kilugha,asante kwa ufafanuzi..Kibubu chenye kisimi.
Kwel nakupenda na sijakudharau kasie wangu tuvumiliane tumalize uzee wetu vzr kipenz changuMbarika, anayekupenda hakufanyii dharau.
Wewe hunipendiiii....
Kwel nakupenda na sijakudharau kasie wangu tuvumiliane tumalize uzee wetu vzr kipenz changu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo ID yangu mama sijabadili nakupenda mamii....Heheheheheheh, naomba urudie haya maneno yako na ID yako kuu.
Si kwa Mahaba haya looh.... Ila unashawishii....
Unataka kumuoa?Umeolewa?