Huu ndio ukweli

Sasa kwanini kavaa kaptula? haitamtonesha kweli hio? au sijaelewa hapa.....
 
watavuna hadi gesi zilizopo mwilini...
 
Huyu mzungu amechukua gesi ila mbongo amepewa sarafu, nadhani mzungu amempa jamaa hii sarafu kwa kujua huyu mbongo hajui thamani ya gesi na pia mzungu amejua huyu mbongo anajua hiyo sarafu ina thamani kubwa sana kama gesi.
Itakua mbongo amepewa akanunue pipi

Big up mkuu ujumbe tumeupata vyema
 
Miviongozi ya nchi hii sijui nani aliilaani...khaaaa
 
Sasa kwanini kavaa kaptula? haitamtonesha kweli hio? au sijaelewa hapa.....

Unaogopa tezi dume itapata shida mpwa?? Usijali kavaa pensinyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…