Huu ndio ukweli mtupu

Magufuli...huyu mtu uraisi hapana,..yeye awe kiungo tu apo kati kati...ila uongozi kafda kuuu hapana
 
Mbona anaeleweka sana aisee danjingo! Nimetumia fomula aliyoitaja pamoja na kuongezea za kwangu nikaielewa thread vizuri sana. Asante mleta mada.Kumbe ccm wanajua kuchimbana hivyo?

Ni kwa maslahi ya taifa!
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa simumunyi maneno, mgonjwa aliyekatwa ni Lowassa, aliyeko 5 bora ni mama yetu, nukta.
 
We mwenyewe unatafuta hao watu uwafanye mitaji.. .kama mbinu unazo kalale kwako na uendelee piga hizo pesa
 
Mpwa ujifanye mgonjwa ukae hospital miezi mitatu wasijue kuwa huumwi? Hilo linawezekana Muhimbili tu sio Ujerumani Mpwa. Hawapimi kwa macho wale wanatumia machine

Hata dispensary ya Palestina Sinza watagundua hauumwi. Miezi mitatu!!
 
Acha mambo yako ya kingese wewe. Huyo mtia nia anakutia wewe? Unakubali kutumika kama mtiwa nia
 
Hahahaa elli nami nilitaka kuuliza hilo. Aisee Basi sisi noma hadi kuweza kujifanya mgonjwa miezi mi 3 na kitumia mda huo kuchunguza mafaili ya mtu mwingine Hahahahahaha. Hizi ni zile story wanapigaga the illiterate I am surprised this guy can even type with that level of intelligence.
 
JF rudisheni accessibility ya JF kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?
 
umejaza kimba tupu
 
Majasusi WA kibonge kukaa ujerumani kwa miezi MITATU kupata ripoti simpo hivyo?? Nao mafisadi tu
 
Mpwa ujifanye mgonjwa ukae hospital miezi mitatu wasijue kuwa huumwi? Hilo linawezekana Muhimbili tu sio Ujerumani Mpwa. Hawapimi kwa macho wale wanatumia machine
Watanzania kila mtu ni mgonjwa tena ukienda huko Ulaya kwa natembezi ukaamua kupima afya yako watashangaa umefikaje bila kufia njiani na watakuuliza umekuja na nani.
 
Any way hayo yote ni mtazamo tu kutoka kwa mtoa uzi ak sred so hakuna haja ya kumbishia saaaaaanaaaa
 
Kama Yaliyopo Pia Katika Ubongo Wako.

Kaka yangu GENTAMYCINE ahsante kwa taarifa!!mimi furaha yangu kubwa leo ni kwamba ;Ahsante LOWASSA kwa kutujengea shule,makanisa,misikiti na bodaboda zetu kutujazia mafuta,watoto wametibiwa magonjwa sugu,watu wamejitolea damu,na mengineyo mema mengi!!!

Hakika pesa zetu zilizoibwa kupitia Richmond zimerudi na zimetunufaisha sana!ila pole sana EL kwa ugonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…