Huu ndio uhusiano kati ya Kesi za mbowe na ya Sabaya

Amini nakwambia. Kukimbizwa kwa kesi ya Sabaya ni ili kesi ya Mbowe imalizike coz ishakua ngetwa. Ipo hivi, Mbowe kupewa kesi ni ili kupisha kesi ya Sabaya iishe bila yeye kuwa kama shahidi kwa sababu yeye ni mmoja ya waliotendwa na Sabaya. Na hili limefanyika makusudi coz Mbowe angetinga mahakamani na ushahidi uliokithiri na angefichua na mengine yasiyopaswa kujulikana. Sabaya mwenyewe alianza kuropoka we unadhan mbowe angepigilia msumari na ushahidi wa kutosha pangekalika? Kifuatacho sasa ni Mbowe kutoka tu coz washatimiza lengo na hawana haja ya kumshikilia tena coz ishaanza kuwacost.
Atakula 30
 
Coz coz coz coz coz coz😏😏
 
Ngoja na mimi nibahatishe. Sabaya kafungwa ili Mama Apete Mikoa ya Kaskazini (KL na AR). Hiyo ngome ilikuwa haingiliki kirahisi. Hivyo hukumu ilipelekwa makusudi kusubiria Mama akiwa huko basi Sabaya keshatolewa kafara na mvua 30. Mbowe atafungwa kwa sababu kuna watu hawataki kusumbuliwa lakini pia ile state of emergency aliyoandika mdau mmoja hapa. Na tukae tukijua kila anayeshangilia kifo cha Dkt Magufuli waweza kuwa target hasa wenye vyeo
 
Kilichopo ni kuwa Mbowe atatoka... Lakini atapaswa kujiimarishia... Jamaa wa PGO wana nia mbaya sana!
 
Makamanda uchwara wanajiona akili zao ni timamu.
Hamnazo nenda kamtete Sabaya na Mwendazake
"....Siko tayari kumjadili Sabaya, mtoto mpotevu, mhuni, mtu mjinga, aliyetumwa na wajinga kuja kufanya mambo ya kijinga, mimi ninajikita kujadili mambo yenye maslahi mapana kwa nchi yetu...."
 
Ona sasa unavyojiona una akili timamu.
 
Huu ni utoto sana.
Kwa hiyo wakitajwa na Mbowe tu wajitetetee?
Hivi kwa nini huwa hamjisumbui kufikiri hata kidogo?
Asingebadili hukumu bali kuna majina makubwa yangeanikwa juani. As long as Sabaya alishawataja baadhi unadhan wangejitetea vipi?
 
Back
Top Bottom