Katika nchi za kiafrica siasa Mara nyingi huwa hazina formula zilizo na ubora lkn zimekuwa zikitawaliwa na hira na mbinu nyingi safi na chafu!
Kama mpira, muziki, na taaluma nyingine, siasa zina mbinu, siasa zina makocha na miongoni mwa team muhimu sana ni ile ya propaganda!
CCM wanatumia vema sana kitengo hiki kiasi kwamba wapinzani Mara nyingi wanapoteza mechi kwa kubambwa na mitego ya CCM!
Hebu tutazame wakati wa masakata mengi mazito wapinzani huwa wanawekwa busy na issues ambazo sio za msingi na ku-loose focus!
Katika Bunge la January mwaka huu, issue nzito ambayo serikali ya CCM isingeweza kuijibu ni ile ya sakata la Zanzibar na kurejewa kwa uchaguzi! Lkn mjadala Mkuu January haukuwa juu ya suala la Zanzibar Bali ni juu ya bunge kuonekana Live au la!
Kwanini ukawa walihamasika na kutoka nje na kuleta vurugu kubwa wakati huo ili tu waonekane live lkn sio kuitaka serikali ya Jamhuri kuingilia kati suala la amani ya Zanzibar!
Yes Kikatiba Dar es Salaam haiwezi kuamua kwa niaba ya Zanzibar, lkn kwa kuwa znz ni partner ktk uundwaji wa serikali ya JMT lazima Dar es Salaam itoe msimamo na kwa kuwa ndio chama dola, bunge lilikuwa na nafasi ya kujadili msimamo wa Tz, maana hata amani ya majirani zetu hajadiliwa bungeni iweje hili la Zanzibar!
Kutokana na ubinafsi na kujali maslahi kwa wapinzani walio wengi hili la uchaguzi likapewa vipaumbele kidogo na wote wakanaswa na mtego wa live au la!
Next time msikurupuke pimeni mtego huko wapi? siasa ni mbinu!