JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,993
- 2,034
Nimemsikia mkuu wa nchi eti Richmond ni ya Lowassa, kumbuka haya majibu yanatoka leo miaka nane, kwa mtu makini haya sio ya kuayaongelea kabisa katika dakika za mwisho za watu kupiga kura ina maana moja kwa moja unawaambia watanzania kuwa wewe hukuwa raisi makini, ndio maana kuna msemo usemao kwamba mtu akichanganyikiwa anaweza akawa anajitukana bila kujua kuwa anajitukana na kujidharau. Mimi nadhani mkutano wa Mwanza unatutaka tuipumzishe CCM KWA MIZAHA HII.
CCM KWA HERI YA KUONANA.
CCM KWA HERI YA KUONANA.