Wasanii waache kuishambulia Clouds FM kwa maneno.Clouds FM ni wafanyabiashara kama wengine.Ni waajiri kama waajiri wengine. Wanahitaji faida,wanahitaji kulipa kodi,wanahitaji kusaidia jamii.Kitu muhimu ni wasanii kuungana pamoja na ku-'negotiate better deals' na Clouds FM.Bila umoja hakuna la ziada.Kuishambulia Clouds FM bado hamjatenda haki..'They have got families to feed also..'