beef ni muhimu ktk hip-hop,hip-hop heads wanaelewa hili,ni kama kijana anaporithi ufalme halafu anatangaza vita na falme tofauti,kifupi ni kwamba beef inakuza hip-hop.mfano mzuri 2pac na Biggie walifanikiwa sana kutokana na beef,na hiyo ikasaidia kupaisha watu wengine kama Jay z na snoop.