Nauza viwanja:
1. Mbezi Juu Makonde: ni eneo very prime kwa hostel/apartments tayari kuna nyumba mbili zenye jumla ya vyumba 16 na msingi wa jengo la ghorofa mbili, eneo la ardhi ni sqm900. Bei Tshs 230M negotiable.
2. Bunju B Mabwe, kuna plots 5 za ukubwa wa sqm400 kila moja, bei kwa kila plot ni Tshs 7M negotiable.
3. Kigamboni Mwongozo Block 14 kuna plots mbili zimeungana jumla ya eneo lote ni sqm1476 kwa bei ya Tshs 45M negotiable. Ila kama ukitaka plot moja, basi unalipa nusu ya bei.