Huu ndio msimamo wangu kuhusiana Magufuli kuwa rais

Fandre

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
320
225
Kuna nyakati katika maisha kila mwanadamu huwa lazima atanabaishe msimamo wake kuhusiana na masuala fulani muhimu yanayohusu maisha yake ama maisha ya wengine au mambo ya wengine yanayogusa maisha yake kwa namna moja au nyingine.

Lakini kwakua nchi yangu inaongozwa na Katiba ambayo katika Ibara ya 18 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa fursa kwa kila raia wa Tanzania kuwa na haki ya kutoa maoni na kujieleza. Basi nami nachukua fursa hii kutoa maoni yangu kwa njia ya msimamo wangu juu ya suala la magufuli kutajwa kuwa ndiye mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbali na mapungufu lukuki yaliyojitokeza yaliyoonyesha dhahiri ya kuwa chama tawala kilijipanga vyema katika kuhakikisha kinaiba kura na kutumia mbinu chafu ikiwemo vitisho, uongo, matumizi ya mabaya ya jeshi la polisi na vyombo vya usalama pamoja na mamlaka mbalimbali za kiserikali ili tu kuhakikisha wanashinda katika uchaguzi huu.

Hapo zamani paliwahi kutokea mtu mmoja akasema...."Democracy is not about voting but counting". Kwa namna moja au nyingine mtu huyu alikuwa sahihi kabisa kwani kupiga kura ni haki ya wote lakini mifumo mbalimbali ya kijasusi na magenge ya matajiri wachache wanaonufaika na rasilimali za mataifa mengi mbalimbali huwa wana nafasi kubwa ya kuwa na maamuzi juu ya matokeo ya kura/uchaguzi kupitia njia ya kuhesabu kura hizo.

Mwaka huu 2015, CCM Ikijua kabisa ya kuwa imezidiwa nguvu na haiwezi kabisa kushinda katika uchaguzi huu iliamua kutumia njia nyingi za wizi ikiwemo kubadili matokeo na kuilazimisha tume kushiriki uharifu huu kwa kuinyonga demokrasia ya nchi hii na kuamua kumtangaza Bw. John Pombe Magufuli kuwa mshindi kinyume na mapenzi au uchaguzi wa wengi kumtaka Mh. Edward Ngoyai Lowassa ambaye ameonekana kama mtu muhimu kwa ajili ya mabadiliko ya kweli kwa taifa hili.

Wizi mkubwa wa kura, upinduaji wa matokeo, ongezeko la wapiga kura kuliko idadi ya wale waliojiandikisha vituoni pia ilikuwa ni sehemu ya mambo yaliyotia dosari na kuua kabisa demokrasia na kuufanya uchaguzi huu kuwa wa KIHUNI, UBABAISHAJI, UONGO, WIZI NA UBAKAJI WA DEMOKRASI KWA AJILI YA WATU WACHACHE.

Baada ya kuyasema hayo, ninaweka wazi ya kuwa SIMKUBALI Bw. Magufuli kuwa Rais wangu kama ilivyotangazwa na Tume ya uchaguzi ambayo imeshindwa kujibu hoja na maswali mengi yaliyokuwa yameelekezwa kwake na watu wengi. Kutangazwa kwa Magufuli kuwa mshindi katika uchaguzi huu kulileta huzuni na simanzi kubwa kwa wananchi huku wengi wakiamua kabisa hata kuvunja kadi zao za kupigia kura yote kuonyesha namna walivyochoshwa na mfumo dhalimu wa chama cha mapinduzi wa kuvamia na kuharibu hatima za maisha ya watu kwa kuwapora haki yao ya kikatiba ya kuchagua.

Hakukua na haja ya uchaguzi mkuu kama mlikuwa mnajua mtamtaja Magufuli kuwa rais, na daima historia itawahukum, watanzania wa leo na vizazi vijavyo vitawahukumu na hamtashahulika na watanzania wote kwa namna mlivyoua matumaini yao juu ya nchi hii. Mmewafanya watu hawa kuishi kwa kusononeka na kuumia basi nanyi hamtapona katika janga hili na laana za watanzania zitawapata wote mlioshiriki.

Kwahiyo kwa kumbukumbu tu kwa ajili ya rafiki zangu, ndugu zangu, jamaa zangu, mpenzi wangu na atakayekuwa mke wangu miaka ijayo pamoja na watoto wangu na watu wote wa nyumba yangu, wafahamu ya kuwa mimi sikumchagua Magufuli na simkubali kuwa Rais wa taifa hili kwa sababu ya namna ambavyo ametangazwa na kuwa mshindi.

Rais wangu ni Mh. Edward Ngoyai Lowassa, jambo hili likumbukwe daima kuwa watanzania walio wengi walimchagua Mh. Lowassa lakini akaporwa ushindi na wenye uroho, uchu na tamaa ya madaraka ambao wameamua kuiongoza nchi hii kama mali yao binafsi.

Mwisho, napenda kuwaasa watu wote tuweni wavumilivu mpaka mwisho, tusikate tamaa bado muda upo na mabadiliko yanakuja kwa haraka sana.
TANZANIA MPYA INAKUJA NDUGU ZANGU

Tanzania ambayo mafisadi hawataachiwa kugombea kwenye nafasi za uongozi
Tanzania ambayo mafisadi hawatakuwa sehemu ya maamuzi ya serikali
Tanzania ambayo watoto wa masikini wataweza kushika hatamu za uongozi
Tanzania ambayo elimu itakuwa bure na kila mtanzania ataipata elimu bora pasipo gharama
Tanzania ambayo rasilimali za taifa zitawanufaisha watanzania wote

Tanzania Mpya inakuja, Bado kitambo kidogo sana. Hawa unaowaona, hutawaona tena.... Simameni mkauone mkono wa Bwana Mungu
 
Hahaaaaaaaa
 
Mambo mengine ni kama tamthilia, eti team Lowasa anakuambia anataka Tz ambayo fisadi hato ruhusiwa kugombea, haya ni zaidi ya mahaba. Ukimaliza muulize EL akupe matokeo ili ujue amepata vipi zile 10m votes
 
upinzani kumsimamisha lowassa ni jaribio la kutaka kubaka fikra za Watanzania.
 
Kilichonishangaza baada ya makufuli kuapishwa kila mtu niliyekutana nae alikua hama furaha...wengi walikata tamaa!!! Binafsi zaid ya siku mbili nlikua sina furaha kabisa..palikua hamna shamra shamra kama ilivyo zoeleka!!!
 
Magufuli hajaapishwa. Ataapishwa leo!
 
Mkuu nakubaliana nawe kwa kila jambo. Hata hivyo, mimi na wewe na watanzania kwa ujumla, hatuna jinsi. At least kwa miaka mi5 ijayo JPJM atakuwa raisi wa wote hata wale ambao hatukumpigia kura. Ni imani na natumaini yangu kuwa, pamoja na uchakachuaji uliofanywa na chama hiki cha kihafidhina (CCM); udhalimu hatimaye utafikia mwisho. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Back
Top Bottom