Huu nao ni wizi mpya au ni kweli

Huu nao ni wizi mpya au ni kweli

***********
mkuu kuweka kitu humu ni kushare na wengine ili kikimtokea au kiliemtokea afunze wengine.....sina kitu mfukoni una maana gani? unataka nikupe hela ama? maana unaongea vituambavyo sio dhima ya thread...hujafungua attachment ni nosense, mbona unaamka na stress za maisha kuja kuzimalizia huku....
jifunze kujiheshim na kuelewa kitu sio kukurupuka tu mkuu

wiseboy umesema kweli,siyo aletae uzi humu hajui anachouliza ila wengine wanatumia njia ya kuuliza ili wapate kutoa somo kwa wengine.
Kuna watu ambao huwa hawasomagi mada zaidi ya kukimbilia kucomment tena kwa point za dharau na kumuona kama mtoa mada ni mjinga fulani.
Lakini,inakuwa ni njia nzuri ya kumtambua binadamu mwenzako katika uwezo wa kufikiri.
" mwenye mawazo madogo,atatawaliwa na dharau ya kudharau mawazo ya mwenza " ka vipi,toa mawazo yako au kila unachotaka kujua hata kama watu mia watakupinga,yupo mmoja atakupa suluhisho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom