wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,930
- 3,314
Habari za majukumu jameni,
miez miwili nilifanya application ya masters chuo fulani, sasa week juzi nilipigiwa simu nimechaguliwa kujiunga na masomo....hahaaa cha ajabu naambiwa nisome online master studies....kikubwa zaidi naambiwa nitapewa asilimia 75 ya scholarship...ila inabidi nilipie 25 ambayo ni laki mbili na nusu kwa mwezi..
sasa nikashangaa kuna scholarship ya online studies? nikawajibu.mm ni choka mbayaaaa wanilipie full, haaaahaa wanesema kigezo cha scholarship ni ujilipie asilimie 25....
hilo jambo lipo? angalieni documents walizonitumia