Huu mziki wa Makamanda tuliu-miss hata CCM wenyewe wanaukubali

Siasa za bongo huwa sizielewi kabisa...

Kabla ya uchaguzi upinzani huwa unakuwa na hopes like never before, matokeo yakitangazwa wameshindwa and the same circle goes on and on...
 
Mara zote Chadema huwa ni watu wastàarabu watu wa furaha na hamasa tu that's all, tatizo CCM hawapendi kuona wenzao wakifurahi watafanya kila mbinu kuwachokoza wakizidiwa wanakimbilia polisi.

Tupingane kwa hoja sio kwa risasi, tukutane Feb, 17.

Hii ni amsha amsha tu ya makamanda kuonyesha wanaume wamerudi, CCM wasije kukimbia.

Hao brek yao ya 1 ni polish
 
Kuzuia mikutano ya upinzani ni kati ya makisa makubwa sana ki mkakati.
Mara baada ya uchaguzi mkuu ilipaswa ile mikutano na maandamano viendelee CHADEMA na Lowasa wangechuja na kukinaiwa mapema sana ma kuifanya CCM kutokuwa na kazi wala hoja ngumu dhidi yao.
Sasa hivi wananchi wanawa miss sana wapinzani, wana miss mikutano ya waoinzani na changamoto walizokua wanaziibua kupitia majukwaa ya mikutano ya kisiasa. Wananchi wamdizoea sana CCM maana ndiyo wenye kibali cha kufanya mikutano wakati wote na popote, CCM siyo habari tena, inaishi kwa vituko na matokio wanavyo vitengeneza wenyewe. Kampeni za Kunondoni na Siha zitaongea zaidi ma kuthubitisha haya niyasemayo.
Miaka fulani (nadhani mwaka 2001 au 2002) katika utawala wa rais Benjamin Mkapa aliwahi kusikika akisema "wana CCM wanalalamika kwa nini sisi hatufanyi mikutano wakati wapinzani wanafanya mikutano mingi kwa bidii, mimi nasema waacheni wapinzani wafanye mikutano mungi iwezekanavyo, kwa sasa hivi CCM tumeweka gear yetu kwenye Neutral, na muda utakapofika wa sisi kuanza mikutano wapinzani watakuwa washajichokea.
Hali ilivyo kwa sasa ni dhahiri tukifika mwaka 2009 ao 2010 CCM itakua imejichokea sana, wataishiwa vyote kitu ambacho kita warahisishia sana wapinzani. Uchaguzi wa Kunondoni na Siha unatarajiwa ndiyo utatumika kama kipimo kwa CCM kujipima taswira yake ilivyo kwa wananchi. Huenda mikutano ya kisiasa ikaruhusiwa baada ya ychaguzi huo. Maana ni dhahiri CCM itashindwa kwa aibu kukiko ilivyo shindwa wakati uke na hiyo ndiyo itakuwa sababu ya mikutano kuruhusiwa.
Tumekusikia kamanda
 
Hahaha huwa inspendeza polisi wanaposusa kushiriki kampeni na uchaguzi, unaona jinsi wananchi wanavyofurahia ndani ya nchi yao.
 
Siasa za bongo huwa sizielewi kabisa...

Kabla ya uchaguzi upinzani huwa unakuwa na hopes like never before, matokeo yakitangazwa wameshindwa and the same circle goes on and on...
Hope huwa ipo wakitegemea Tume ya uchaguzi itakuwa fair.
 
Kuzuia mikutano ya upinzani ni kati ya makisa makubwa sana ki mkakati.
Mara baada ya uchaguzi mkuu ilipaswa ile mikutano na maandamano viendelee CHADEMA na Lowasa wangechuja na kukinaiwa mapema sana ma kuifanya CCM kutokuwa na kazi wala hoja ngumu dhidi yao.
Sasa hivi wananchi wanawa miss sana wapinzani, wana miss mikutano ya waoinzani na changamoto walizokua wanaziibua kupitia majukwaa ya mikutano ya kisiasa. Wananchi wamdizoea sana CCM maana ndiyo wenye kibali cha kufanya mikutano wakati wote na popote, CCM siyo habari tena, inaishi kwa vituko na matokio wanavyo vitengeneza wenyewe. Kampeni za Kunondoni na Siha zitaongea zaidi ma kuthubitisha haya niyasemayo.
Miaka fulani (nadhani mwaka 2001 au 2002) katika utawala wa rais Benjamin Mkapa aliwahi kusikika akisema "wana CCM wanalalamika kwa nini sisi hatufanyi mikutano wakati wapinzani wanafanya mikutano mingi kwa bidii, mimi nasema waacheni wapinzani wafanye mikutano mungi iwezekanavyo, kwa sasa hivi CCM tumeweka gear yetu kwenye Neutral, na muda utakapofika wa sisi kuanza mikutano wapinzani watakuwa washajichokea.
Hali ilivyo kwa sasa ni dhahiri tukifika mwaka 2009 ao 2010 CCM itakua imejichokea sana, wataishiwa vyote kitu ambacho kita warahisishia sana wapinzani. Uchaguzi wa Kunondoni na Siha unatarajiwa ndiyo utatumika kama kipimo kwa CCM kujipima taswira yake ilivyo kwa wananchi. Huenda mikutano ya kisiasa ikaruhusiwa baada ya ychaguzi huo. Maana ni dhahiri CCM itashindwa kwa aibu kukiko ilivyo shindwa wakati uke na hiyo ndiyo itakuwa sababu ya mikutano kuruhusiwa.
upo sahihi, though hujui anachokipanga huyu bwana pombe........... tutasaga meno muda sio mrefu
 
Back
Top Bottom