Huu mziki wa Makamanda tuliu-miss hata CCM wenyewe wanaukubali

Je cdm waliliangalia hili kisheria linasemaje, na je wana mfano wa aina hiyo kama backup. Binafsi sijaridhishwa na uteuzi wa Salim Mwl kwenye eneo ambalo si mpiga kura kwani inaweza kutumika propaganda chafu dhidi yake. Nimeridhika kabisa cdm kushiriki uchaguzi huu lakini sio huyo mgombea anayetokea pengine. Ni bahati tu hata ccm wameweka mgombea ambaye yuko kwenye nyumba ya vioo.
Mbona Hisein Mwinyi alishawahi kwa MP mkuranga?
......
. . . Kumekucha

Hayo maswali kamulize ndugu yako Philip Marmo ambaye CCM imemtupilia mbali huko Mbulu, hawamfikirii hata kwenye uenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari ya Sarwat! Wewe jifanye CCM damdam!
 
Je cdm waliliangalia hili kisheria linasemaje, na je wana mfano wa aina hiyo kama backup. Binafsi sijaridhishwa na uteuzi wa Salim Mwl kwenye eneo ambalo si mpiga kura kwani inaweza kutumika propaganda chafu dhidi yake. Nimeridhika kabisa cdm kushiriki uchaguzi huu lakini sio huyo mgombea anayetokea pengine. Ni bahati tu hata ccm wameweka mgombea ambaye yuko kwenye nyumba ya vioo.
CHADEMA nia yao sio kushiriki uchaguzi nia yao ni kuvuruga uchaguzi
 
Mbona Hisein Mwinyi alishawahi kwa MP mkuranga?

Mkuu hii ndio inatakiwa ili kama jamaa wakileta figisu figisu tu kuwe na mifano halisi. Bigup sana. Je alipokuwa mkuranga alijiandikisha wapi kama mpiga kura? Lazima tuangalie kila mahali na iwe rahisi kuruka vipangamizi kama hivyo maana kwa hili ccm wameshikwa pabaya.
 
Kwakweli ni mambo moto. Tena moto kwa Bwana JUMA pUMBA MAHARAGWE (JPM) anayetamani kuzima hata mitandao nje na kuua upinzani. CCM oyee haipo tena maana muteuzi ni pesa oyee!
Nawe hiyo hoja, hujaona aibu kutangaza kuwango na upeo wako wa kuwaza na kywasilisha hicho? Hakika hata wazazi wako unawatolea maneno ya hovyo
 
Cdm ningependa wajipange vizuri pindi watakapokuwa wanapanda jukwaani, wapange watu mahiri wa kuongea. Napendekeza wajipange kwenye mambo manne. tuchukulie mkutano wa wa masaa mawili.
  1. Uchumi: Hapa waelezee hali ya sasa ya uchumi nchini, ikiwemo ajira, kilimo nk Wawe na mchumi mzuri kwa kuelezea hii redundancy inayoitwa vyeti fake bila nafasi hizo kujazwa. Mabenk kufilisika, mikopo ya wanafunzi, ahadi za ccm kutokutekelezeka kama 50m@kijiji/mtaa, Kwanini umeme wa stiegler gorge, wakati awamu iliyopita tuliambiwa gas ndio kila kitu mpaka tukawa tunaimbishwa nchi nzima kama wendawazimu kuhusu uchumi wa gas. Hapa zitumike dakika 20-25.
  2. Hali ya siasa hapa nchini: Hapa izungumziwe demokrasia inavyominywa ikiwemo vyama vya upinzani kunyimwakufanya siasa lakini ccm ikiachiwa kutamba. Kupotea kwa watu kama Ben saa 8, mwandishi wa habari, shambulio la Tundu Lissu na kunyimwa haki za matibabu nk. Nashauri hapa kuwe na vijembe vya kisiasa na sio kejeli na matusi na hasa ikibidi hilo jina la kumuita Magufuli dictator lisitumike sana kwani ndio wanapopata kisingizio cha kusumbua wapinzani. Hapa ielezwe madhara ya kujaza wabunge wa ccm kwani wanaunga mkono hata mikataba mibovu na itolewe mifano kama walivyopitisha sheria ya gas na leo hawazungumzi lolote, Itumike tafsida kuelezea udictator wake. Hapa dakika 20-25.
  3. Cdm watafanya nini: Hapa cdm inabidi wawe wazuri kuonyesha iwapo wao watapewa madaraka watafanya nini kwenye ajira, maendeleo ya watu kama kujenga nyumba bora kwa kupunguza bei za vifaa vya ujenzi, zahanati kila kata, elimu bure mpaka chuo kikuu bure, kurejesha demokrasia, kurejesha uhusiano mwema na wafanya biashara, nk Hapa dk 20-25. Pia wanaweza kuweka dk 10-15 za maswali wangalau matatu na majibu kila mkutano.
  4. Mgombea kuzungumzia jimbo analolipigania matatizo na utekelezaji wake. Ahakikishe anapata taarifa za jimbo lake kupitia madiwani mbalimbali walioko hapo. Yeye ajikite kwenye matatizo ya watu wa jimbo lake tu, na siasa nyingine za kitaifa aachie wengine kama nilivyoainisha hapo juu. hapa atumie dk 30
Cdm wahakikishe wanafanya siasa za kistaarabu bila woga, lakini wawe na watu mahiri kwenye kuongea majukwaani na sio yale mambo ya kusema kwenye ilani. Kisha wawe na watu watakoaratibu kutoa habari kwenye uchaguzi kuanzia vyombo vya habari rasmi na kwenye mitandao ya kijamii. Hapa picha na ujumbe wa kampeni ufike vyema. Tukio lolote ovo liripotiwe kwa nguvu kubwa. Siku ya uchaguzi tatizo lolote lijazwe kwenye makabrasha husika. Kwa mtindo huu tutakuwa tumewabana ccm vyema na sio kampeni za kishabiki tu bila mpangilio mzuri.
 
Mkuu hii ndio inatakiwa ili kama jamaa wakileta figisu figisu tu kuwe na mifano halisi. Bigup sana. Je alipokuwa mkuranga alijiandikisha wapi kama mpiga kura? Lazima tuangalie kila mahali na iwe rahisi kuruka vipangamizi kama hivyo maana kwa hili ccm wameshikwa pabaya.
Kugombea sio lazima uwe umejiandikisha eneo husika Dr. Shein alichaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar wakati alijiandikisha Osterbay Kinondoni.
 
Tuko pamoja tarehe kumi narudi dar, niko mkoani nilijiandikisha jimboni kinondoni, nilimpigia Mtulia, narudi kupiga kura yangu na kupiga kampeni zaidi. Wana madiliko tusikatishwe tamaa na akina Mtulia, tuifanye kazi kwa moyo wote, kwa nguvu zote na kwa akili zote kazi aliyotuachia Kamanda Tundu Lissu.

Tumfikishie ujumbe kuwa Madini, ujanja na ujasiri anaotufundisha hakika hakupoteza muda.
Mara zote Chadema huwa ni watu wastàarabu watu wa furaha na hamasa tu that's all, tatizo CCM hawapendi kuona wenzao wakifurahi watafanya kila mbinu kuwachokoza wakizidiwa wanakimbilia polisi.

Tupingane kwa hoja sio kwa risasi, tukutane Feb, 17.

Mkuu nakupongeza kwa uzi huu, uchaguzi huu cdm watumie kufafanua mambo mengi ya kitaifa kwa kupewa watu mahiri kuyazungumzia. Kisha Salim Mwl ajikite kwenye mambi ya wana kinondoni tu. Vijembe viwe vichache ila siasa za maendeleo ziwe kwa wingi. Cdm iwe makini na iache siasa za kejeli kwani wataipa ccm kisingizio cha kuvuruga uchaguzi. Cdm ifanye kampeni za kistaarabu na sio za woga.

Cdm ihakikishe inaandaa kikosi kizuri cha kuhabarisha umma ikiwemi huku mitandaoni na ushirikiano wa karibu na vyombo vya habari ili taarifa zote na ujumbe wa kampeni ufike vyema. Sasa hivi kitengo cha habari cdm kimechoka ile mbaya.
Ushauri mzuri naimani chama chetu ni chama makini kitazingatia hilo.

Wahakikishe pia wanamakiza mkutano ndani ya muda tuepukane na maswala ya kuhojiwa kila simu polisi.
 
Sawa kabisa wasipate kisingizio. Ukishindana na watu wanaotumia mabavu hakikisha unafuata utaratibu na kutoa mashambulizi ya kisayansi.
 
Mie ninachojua CCM itamfia Huyu Juma Ponda Mali kwa kutumia Mali vibaya za watanzania na wanaCCM. ..kwanza ndoto ya Lema inaweza timia kabla ya 2020
 
Cdm ningependa wajipange vizuri pindi watakapokuwa wanapanda jukwaani, wapange watu mahiri wa kuongea. Napendekeza wajipange kwenye mambo manne. tuchukulie mkutano wa wa masaa mawili.
  1. Uchumi: Hapa waelezee hali ya sasa ya uchumi nchini, ikiwemo ajira, kilimo nk Wawe na mchumi mzuri kwa kuelezea hii redundancy inayoitwa vyeti fake bila nafasi hizo kujazwa. Mabenk kufilisika, mikopo ya wanafunzi, ahadi za ccm kutokutekelezeka kama 50m@kijiji/mtaa, Kwanini umeme wa stiegler gorge, wakati awamu iliyopita tuliambiwa gas ndio kila kitu mpaka tukawa tunaimbishwa nchi nzima kama wendawazimu kuhusu uchumi wa gas. Hapa zitumike dakika 20-25.
  2. Hali ya siasa hapa nchini: Hapa izungumziwe demokrasia inavyominywa ikiwemo vyama vya upinzani kunyimwakufanya siasa lakini ccm ikiachiwa kutamba. Kupotea kwa watu kama Ben saa 8, mwandishi wa habari, shambulio la Tundu Lissu na kunyimwa haki za matibabu nk. Nashauri hapa kuwe na vijembe vya kisiasa na sio kejeli na matusi na hasa ikibidi hilo jina la kumuita Magufuli dictator lisitumike sana kwani ndio wanapopata kisingizio cha kusumbua wapinzani. Hapa ielezwe madhara ya kujaza wabunge wa ccm kwani wanaunga mkono hata mikataba mibovu na itolewe mifano kama walivyopitisha sheria ya gas na leo hawazungumzi lolote, Itumike tafsida kuelezea udictator wake. Hapa dakika 20-25.
  3. Cdm watafanya nini: Hapa cdm inabidi wawe wazuri kuonyesha iwapo wao watapewa madaraka watafanya nini kwenye ajira, maendeleo ya watu kama kujenga nyumba bora kwa kupunguza bei za vifaa vya ujenzi, zahanati kila kata, elimu bure mpaka chuo kikuu bure, kurejesha demokrasia, kurejesha uhusiano mwema na wafanya biashara, nk Hapa dk 20-25. Pia wanaweza kuweka dk 10-15 za maswali wangalau matatu na majibu kila mkutano.
  4. Mgombea kuzungumzia jimbo analolipigania matatizo na utekelezaji wake. Ahakikishe anapata taarifa za jimbo lake kupitia madiwani mbalimbali walioko hapo. Yeye ajikite kwenye matatizo ya watu wa jimbo lake tu, na siasa nyingine za kitaifa aachie wengine kama nilivyoainisha hapo juu. hapa atumie dk 30
Cdm wahakikishe wanafanya siasa za kistaarabu bila woga, lakini wawe na watu mahiri kwenye kuongea majukwaani na sio yale mambo ya kusema kwenye ilani. Kisha wawe na watu watakoaratibu kutoa habari kwenye uchaguzi kuanzia vyombo vya habari rasmi na kwenye mitandao ya kijamii. Hapa picha na ujumbe wa kampeni ufike vyema. Tukio lolote ovo liripotiwe kwa nguvu kubwa. Siku ya uchaguzi tatizo lolote lijazwe kwenye makabrasha husika. Kwa mtindo huu tutakuwa tumewabana ccm vyema na sio kampeni za kishabiki tu bila mpangilio mzuri.
Hakuna mwana CHADEMA mwenye akili ya kuzungumzia haya mambo uliyoyaandika...unapoteza muda wako mkuu
 
Back
Top Bottom