Wenye Upeo mdogo utawajua tuu.yaani mwanga wa koroboi uchome mtu?
Maajabu hayaduh DED anatumia Gmail...
Ifike wakati sasa uwekwe makumbusho.
Time wasting na unachangia sana maamubikizi ya ukimwi. Ni chi gan dunian wanakimbiza mwenge zaid ya sisi? Una faida gani? Kuzindua miradi ambayo DC au diwAni au RC atazindua?? I dont get them. Usipochangia utafunguliwa kosa gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lipa tu si unaona mabeberu wanavyotuletea joto huku dar, lipa tu wajue kuwa sisi ni wazalendo.
Leo katika shughuri zangu nikaletewa barua na mkurugenzi wa Misungwi ikinitaka nilipe 50000 kwa ajili ya mwenge,nimejiuliza sana yaani nilipe
Leseni ya biashara,
Ushuru,
Kodi ya jengo,
Kodi ya kiwanja,
Takataka
Umeme
Maji
Halafu tena nilipie Mwenge kama ni wa kula.View attachment 1040905
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unaelewa. Umeambiwa BEBERUWenye Upeo mdogo utawajua tuu.yaani mwanga wa koroboi uchome mtu?
Una maana ya ndafu?Uwe unaelewa. Umeambiwa BEBERU