navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 199
- 266
Iko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu ..
Sasa nilivokuja hapaa, akawa amenicheki akaniambia yeye yuko moro...ni muda mrefu sana hatukua tumewasiliana kama miaka minne hivi tangu tumalize chuo.
Alivonicheki plus upweke na upwiru wa ugeni hapa dar ikabidi nimuite walau nipunguze upwiruu..
Alivokuja nimepiga hiyo cku karudi job kwake baada ya wiki tatu ananiambia ana mimba,nikasema sio shida
Alivokaribia kujifungua akabeba baadhi ya vyombo akaja gheto kuviacha ili aende kwao kujifungua..
Sasa alivojifungua kakaaa kama miezi minne bila mm kumfuata maana mategemeo yake kwamba nimfuate tuje tuishi pamoja...
Alivoona simfuati akaamua afunge safari na mabegi yake yote aje kwangu bila taarifa..alivofika usku nikashindwa mfukuza ikabidi nimpokee
Sasa shida inakuja hataki kutoka rudi kwao, mm moyo wangu hauko kwake na ninaona hata tukioana hatuwezi kuwa na chemistry nzuri..
Nishajaribu kila mbinu yakumtoa ila nimeshindwa cjui hata nifanyaje wakuuu...aaaaah nachoka mwenzenuu