Chadwick BosemanKobe Bryant
Diego Maradona
Diop
Ben Mkapa.
Corona victims..
Mkuu kwa mwaka 2020 ni zaidi ya hao, sema niliowataja ni watu wangu wa karibu.
Mkuu kwa mwaka 2020 ni zaidi ya hao, sema niliowataja ni watu wangu wa karibu.
Kiufupi ule mwaka sio mzuri, tena usirudi tena.
Huwezi amini mwezi wa pili madini yalitoka kama karanga, mimi mwenyewe nilifungua ki bar uchwara (kilikua chini ya danga) nikajua huu mwaka ni mzuri kweli.
Kufikia mwezi wa nne mambo yakabadilika mdogo mdogo (Corona ndio chanzo) mala mipaka ikafungwa, wa Thailand (maboss wetu) wengi wao wakaondoka makwao, walio bakia wakawa hawataki kununua madini.
Hapo njaa ika bamba, mpaka kichwa kikajaa upepo.
Mpaka kufika mwezi wa kumi kila jambo langu likawa halinogi.
Kiufupi ule mwaka sintokaa nikausahau.
Ngoja niutazame na huu mwaka kwanza nione itakuaje?
Tanzania natakiwa niingie na angalau $30000 nimekosa kabisa $10000, hapo nitaiweza, lasivyo bola niendelee kuchakaa na madini.Toka uko machimboni wewe halafu achana kushabikia litimu la hovyo kama manure cjui man u ..hizo ela ulizopata uko rudi nyumbani uwekeze..fungua hata banda la mpira mkuu
Unang'ang'ana na madini na bado unashabikia litimu la hovyo utakufa mdogo wangu rudi nyumbani kumenoga.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Yaani we jamaa ni riwaya toshaTanzania natakiwa niingie na angalau $30000 nimekosa kabisa $10000, hapo nitaiweza, lasivyo bola niendelee kuchakaa na madini.
Hivi mshahara wa Laki mbili sijui tatu utanikimu vipi maisha yangu?
Nishazoea kutumia hela, mambo ya kubana bajeti siyawezi.
Nikija hapo, nitawaibieni munifunge ama muniuwe bure, bora muniache tu.
Thank you, happy New Year 2021 to you and yours!HAPPY NEW YEAR 2021